Sio kweli,Ulaji wa nyama nyekundu kupita kiasi unachangia.
Sio kweli,
wamasai wote wangekua washaugua
Sio kweli,
wamasai wote wangekua washaugua FIGO
Sasa tunywe maji kiasi gani tusinywe kiasi gani?Maji ndio chanzo kikubwa,
Yakiwa machache una zi overload nephron kufanya reabsorption as much as possible ili usipoteze hayo machache uliyonayo.
Yakiwa mengi pia, Zinazidiwa na maji hali inayofanya ishindwe kufanya reabsorption ya nutrients nyingine za muhimu..
Matokeo yake ni kutoa
Too concentrated/Too diruted Urine.
Chezea kati ya 2-3 liters,Sasa tunywe maji kiasi gani tusinywe kiasi gani?
Fafanueni jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Link yako inasema tatizo ni nguruwe, kwa kiasi kikubwa.Acute Kidney Failure: Symptoms, Causes, Treatment, Prevention
Acute kidney failure happens when your kidneys suddenly stop working. Learn the symptoms, causes, and treatments for this serious medical condition.www.webmd.com
Red meat ni tatizo alichosema ni kuwa Marekani ulaji wao mkubwa ni nguruwe.Link yako inasema tatizo ni nguruwe, kwa kiasi kikubwa.
Kwa hiyo Wamasai wako njema na ng'ombe na mbuzi zao. Tatizo Wachagga na nguruwe!
Lita 3 kwa siku sio mbayaSasa tunywe maji kiasi gani tusinywe kiasi gani?
Fafanueni jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa kunywa maji kulingana na uzito wako,sheheSasa tunywe maji kiasi gani tusinywe kiasi gani?
Fafanueni jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app