achengula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 369
- 62
Mimi natumia Dell Intel core i3 64 bit nimeinunua mwaka 2010 sijaitumia sana kwa vile nilikuwa na dell nyingine. Sasa hivi kwenye alama ya battery inanionyesha X nyekundi kwamba natakiwa nifikirie kureplace. Sasa inauwezo wa kukaa dakika 30 -45 tu ikiwa inatumia battery pekee. Nilijaribu kuulizia bei ya replacement nilipoambiwa nikaona ngaja niendelee kutmia hivi hivi. Laptop bado ni nzima na inaonekana kama mpya lakini ndo hivy battery kwisha. Sjui kama ni kwa Dell zote za aina hii au la?