Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,770
- 4,912
Wewe tenah 😂 😂 😂 vyote mkuuko shida ni charger, simu, system au vyote kwa pamoja
Uku za chuoni ndio Hali kama hiiSimu nyingi za kuanzia mwaka 2000, Charger system ndio shida sana
Sema matundu mengi ya simu sikuhizi yametanuka na sijui huwa yanatanuliwa na nini kuna muda unaweza chomeka charger yani ili ishike hadi uishikilie ndio inapeleka charge, na mbaya zaid hizi type C hata ukigeuza pande zote bado inapwaya sana hata charger nazo sikuhizi. Zimekuwa na shida sana nyingi za kushikilia waya au unyonge nyonge waya ili ucharge,,na charger system hizo ndio kabisaaa l.Matatizo ya charger system yanazidi kushamiri🔥
Sikia bro
✅Inafaa ukichomeka charger walau simu i-vibrate
✅Ukiichomeka ikaze kwenye tundu la simu.
✅Vinginevyo; charger yako au charger system ya simu yako haiko sawa
Nafikiri inahitajika D mbili inView attachment 3444717
Visimu vya elfu mbili au sio 😂😂Simu nyingi za kuanzia mwaka 2000, Charger system ndio shida sana
Tatizo sio charger, ni wachomekaji wengi mno, sistem haiwezi kudumu.Matatizo ya charger system yanazidi kushamiri🔥
Sikia bro
✅Inafaa ukichomeka charger walau simu i-vibrate
✅Ukiichomeka ikaze kwenye tundu la simu.
✅Vinginevyo; charger yako au charger system ya simu yako haiko sawa
Nafikiri inahitajika D mbili inView attachment 3444717
Dooh wamechomeka matundu yote yaliyowazi.Uku za chuoni ndio Hali kama hiiView attachment 3444718
Jamani jamani mbavu zangu.kiswahili bonge la lugha.Sema matundu mengi ya simu sikuhizi yametanuka na sijui huwa yanatanuliwa na nini kuna muda unaweza chomeka charger yani ili ishike hadi uishikilie ndio inapeleka charge, na mbaya zaid hizi type C hata ukigeuza pande zote bado inapwaya sana hata charger nazo sikuhizi. Zimekuwa na shida sana nyingi za kushikilia waya au unyonge nyonge waya ili ucharge,,na charger system hizo ndio kabisaaa l.