Matatizo ya charger system yanazidi kushamiri🔥

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,144
Reaction score
3,459
Matatizo ya charger system yanazidi kushamiri🔥

Sikia bro
✅Inafaa ukichomeka charger walau simu i-vibrate
✅Ukiichomeka ikaze kwenye tundu la simu.
✅Vinginevyo; charger yako au charger system ya simu yako haiko sawa

Nafikiri inahitajika D mbili in
1755467478713.jpg
 
Matatizo ya charger system yanazidi kushamiri🔥

Sikia bro
✅Inafaa ukichomeka charger walau simu i-vibrate
✅Ukiichomeka ikaze kwenye tundu la simu.
✅Vinginevyo; charger yako au charger system ya simu yako haiko sawa

Nafikiri inahitajika D mbili inView attachment 3444717
Sema matundu mengi ya simu sikuhizi yametanuka na sijui huwa yanatanuliwa na nini kuna muda unaweza chomeka charger yani ili ishike hadi uishikilie ndio inapeleka charge, na mbaya zaid hizi type C hata ukigeuza pande zote bado inapwaya sana hata charger nazo sikuhizi. Zimekuwa na shida sana nyingi za kushikilia waya au unyonge nyonge waya ili ucharge,,na charger system hizo ndio kabisaaa l.
 
Tatizo sio charger, ni wachomekaji wengi mno, sistem haiwezi kudumu.
 
Mkuu kiswahili ni lugha pana na tamu sana .hoja yako namba mbili wengine tumeelewa vingine.nashauri tafuta lugha nyingine kuongelea hiyo issue ya charger.
 
Sema matundu mengi ya simu sikuhizi yametanuka na sijui huwa yanatanuliwa na nini kuna muda unaweza chomeka charger yani ili ishike hadi uishikilie ndio inapeleka charge, na mbaya zaid hizi type C hata ukigeuza pande zote bado inapwaya sana hata charger nazo sikuhizi. Zimekuwa na shida sana nyingi za kushikilia waya au unyonge nyonge waya ili ucharge,,na charger system hizo ndio kabisaaa l.
Jamani jamani mbavu zangu.kiswahili bonge la lugha.
 
Back
Top Bottom