Matatizo ya CHADEMA haya hapa

Umekuwa msemaji wa CCM kwamba walikwambia walitaka kutumia mfumo wa CDM. Lakini hebu nisaidie mimi mbumbumbu, ilikuwaje habari hii ya CCM kutamani mfumo wa CDM hukuiweka hadharani ahdi leo unapigwa dongo ndio unaitoa? au ndio huku kumwaga mchuzi na ugali?
 
Huu uzi hautabadilisha blue kuwa red...chadema iko mioyoni mwa wa Tanzania. ..hata mkiwachafua majina viongozi wa chadema haitasaidia kitu.si umeona mwigulu kahangaika na kikatuni chake walicho kimwagia tindikali still bado haikusaidia kitu..so buku 7 project endeleeni kupigia mbuzi gitaa
 

Kazi ya kukijega chama cha siasa siya mchezo hasa katika jamii mmoja ya watanzania,mapambano yaliyopo ya adui wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe,kumuondowa huyu miongono mwetu na kumuwekwa huyu naye ni miongoni mwetu katika mtizamu huu waujengaji wa chama cha siasa,watu wa kwanza watakao kuungamkono kwa hali,mali,mauwaji,uhai na machungu ya dhati ni watu wa karibu nawe,tofauti na wakati wamapambano ya kukijenga chama kumuondowa mkoloni(mzungu) watanganyika wote tulikuwa kitu kimoja kumuondowa mkoloni kwenda kwao tafauti na sasa, nailikuawa nijambo la fahari kuteuliwa ubalozi,si udini,ukabila au ukanda ni harakati za kukijenga chama kuelekea kwenye utaifa.
 
Ungetoa ufafanuzi ili tukuelewe ndugu (Hili ni Jukwaa la 'Greater Thinkers') jinsi hao wanavyopeana hayo madaraka si kufanya ulinganisho tu, mfano Lissu VS dada yake. Mbona vyama vingi hizo 'VS' zipo? Mfano Makamba Sr VS Makamba Jr. Onyesha nawe ni miongoni mwa 'GT'
 
Heri nusu shari kuliko shari kamili.Magamba bana wamejitwalia kila kitu.Orodha yao ni ndefu sana,hata JF haitatosha
 

Hapo ktk red, Kwa mtazamo wako, Chama Kikuu Cha Upinzani ni Chama gani? CHADEMA au NCCR?
 

umemaliza na kwa muda huu najua umesha beba posho kibindoni asante kwa taarifa ukajinyonge sasa.
 
Hahaha hahaha😛eace: hahaha hahaha

LUPE.watajinynga hawa jamaa yani kila siku ni cdm cdm cdm cdm hawajui kuwa ukimwimba sana adui yako inafika wakati unamsifia adiu bila kujua.....nakwambia wangoje 2015 wapigwe si kipigo cha pinda bali nguvu ya umma.
 
Huu uzi hautabadilisha blue kuwa red...chadema iko mioyoni mwa wa Tanzania. ..hata mkiwachafua majina viongozi wa chadema haitasaidia kitu.si umeona mwigulu kahangaika na kikatuni chake walicho kimwagia tindikali

Word!!!!
 
mkuu umejitahidi sana leo, yaani kwenye tuhuma hizi DR. hayumo? hapana bwana review njoo na zile tuhuma zenu za ruzuku!!!

slaa amempa mkewe kitengo cha i.t. iliaweze kudaka data zote ndan ya cdm
 
inavyo elekea wewe ni bubu. sijawahi ona hata siku moja ukiandika maneno. nimeamini duniani kuna mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…