NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
hapo kwenye red ushaonyesha where you belong....facebook kwa watoto wenzakoHabari wa JF.
Naomba nitaje matatizo ambayo yako CHADEMA.
1. Kupeana Ubunge kwa kujuana, e.g viti maalumu
Ndesamburo vs Lucy Owenya
Mbowe vs Grace Kihwelu
Lissu vs J.Lissu(Dada yake tumbo moja)
Zitto vs mtoto wa shangazi yake
2. Ukiwa mchaga ni rahisi kupewa Cheo au Jimbo la uchaguzi tena bila hata kura za maoni.
3. Kudhani kila wakati ndio chama kikuu cha upinzani wakati kuna vyama vingine. Na hata
nccr mageuzi ya Mrema ilikuwa hivyo hivyo.
4. Kila wakati wanadhani wanaonewa hata kwenye mambo yasio ya msingi au yasiyo na maslai
kwa taifa hili.
NAOMBA MBADILIKE.
NB: SIASA CI SULUHISHO SAHIHI LA MATATIZO YETU.
mlizoea kuiba bila bugudha,sasa mnakula huku macho yanapapasa,..hawa chadema wapo hapa kwa mda mrefu ujao,siyo nccr ya usalama wa taifa mremaChadema ni janga la taifa
Tumekuelewa.Na kama hao ndio waliokuwa wanachama wangepata wapi wengine?Habari wa JF.
Naomba nitaje matatizo ambayo yako CHADEMA.
1. Kupeana Ubunge kwa kujuana, e.g viti maalumu
Ndesamburo vs Lucy Owenya
Mbowe vs Grace Kihwelu
Lissu vs J.Lissu(Dada yake tumbo moja)
Zitto vs mtoto wa shangazi yake
2. Ukiwa mchaga ni rahisi kupewa Cheo au Jimbo la uchaguzi tena bila hata kura za maoni.
3. Kudhani kila wakati ndio chama kikuu cha upinzani wakati kuna vyama vingine. Na hata
nccr mageuzi ya Mrema ilikuwa hivyo hivyo.
4. Kila wakati wanadhani wanaonewa hata kwenye mambo yasio ya msingi au yasiyo na maslai
kwa taifa hili.
NAOMBA MBADILIKE.
NB: SIASA CI SULUHISHO SAHIHI LA MATATIZO YETU.
Hao watu ni wakabila wadini na wakanda
mkuu umejitahidi sana leo, yaani kwenye tuhuma hizi DR. hayumo? hapana bwana review njoo na zile tuhuma zenu za ruzuku!!!Habari wa JF.
Naomba nitaje matatizo ambayo yako CHADEMA.
1. Kupeana Ubunge kwa kujuana, e.g viti maalumu
Ndesamburo vs Lucy Owenya
Mbowe vs Grace Kihwelu
Lissu vs J.Lissu(Dada yake tumbo moja)
Zitto vs mtoto wa shangazi yake
2. Ukiwa mchaga ni rahisi kupewa Cheo au Jimbo la uchaguzi tena bila hata kura za maoni.
3. Kudhani kila wakati ndio chama kikuu cha upinzani wakati kuna vyama vingine. Na hata
nccr mageuzi ya Mrema ilikuwa hivyo hivyo.
4. Kila wakati wanadhani wanaonewa hata kwenye mambo yasio ya msingi au yasiyo na maslai
kwa taifa hili.
NAOMBA MBADILIKE.
NB: SIASA CI SULUHISHO SAHIHI LA MATATIZO YETU.
Ndo matatizo ya kujiunga juzi jukwaani unaacha kujadili issues unaleta longolongoHabari wa JF.
Naomba nitaje matatizo ambayo yako CHADEMA.
1. Kupeana Ubunge kwa kujuana, e.g viti maalumu
Ndesamburo vs Lucy Owenya
Mbowe vs Grace Kihwelu
Lissu vs J.Lissu(Dada yake tumbo moja)
Zitto vs mtoto wa shangazi yake
2. Ukiwa mchaga ni rahisi kupewa Cheo au Jimbo la uchaguzi tena bila hata kura za maoni.
3. Kudhani kila wakati ndio chama kikuu cha upinzani wakati kuna vyama vingine. Na hata
nccr mageuzi ya Mrema ilikuwa hivyo hivyo.
4. Kila wakati wanadhani wanaonewa hata kwenye mambo yasio ya msingi au yasiyo na maslai
kwa taifa hili.
NAOMBA MBADILIKE.
NB: SIASA CI SULUHISHO SAHIHI LA MATATIZO YETU.
Habari wa JF.