Matatizo tumboni

Kafuta

Senior Member
Oct 15, 2010
119
29
Tafadhari wana jf na Doctors naombeni msaada wenu..nina shida tumboni mwangu nahic chakula kutosagwa ipasavyo kwa sbb mara zote nikila tumbo hubaki hivyo hivyo kwa muda mrefu sana..na mara nying sihic njaa..huuma na ngurumo kibao..ni kama cku mbili zimepita cjaenda hospital bado..mwenye kujua anisaidie,natanguliza shukuran.
 
ALOE VERA GEL
Kinywaji hiki cha asili kinasaidia kuondoa sumu, kusafisha na kusaidia mmeng’enyo wa chakula, kuondoa vimbe, kuponya vidonda na kusaidia uponyaji wa maradhi kama arthritis, kisukari, vidonda vya tumbo,kukuongezea nguvu, kupunguza aleji mwilini na mengine mengi. Ina virutubisho kama vitamin 12 ikiwemo B12, madini 20, amino acid 18 na enzymes.
Tuwasiliane kwa ajili ya kuwa nayo. healthwealthfirst@gmail.com
 

Attachments

  • 22.jpg
    22.jpg
    3 KB · Views: 253
Nenda hospitali kamuone daktari akufafanulie kitaalamu zaidi kabla ya kujicomplicate na madawa!
 
ALOE VERA GEL
Kinywaji hiki cha asili kinasaidia kuondoa sumu, kusafisha na kusaidia mmeng'enyo wa chakula, kuondoa vimbe, kuponya vidonda na kusaidia uponyaji wa maradhi kama arthritis, kisukari, vidonda vya tumbo,kukuongezea nguvu, kupunguza aleji mwilini na mengine mengi. Ina virutubisho kama vitamin 12 ikiwemo B12, madini 20, amino acid 18 na enzymes.
Tuwasiliane kwa ajili ya kuwa nayo. healthwealthfirst@gmail.com

mkuu ungeweka na namba yako ya simu hapa au toa maelekezo namna ya kuipata,sasa we unaweka dawa hapa halafu huweki contact unashani watanzania tunaingia online mda wote???ww mwenyewe unaingia dk 5 unasepa
 
mkuu ungeweka na namba yako ya simu hapa au toa maelekezo namna ya kuipata,sasa we unaweka dawa hapa halafu huweki contact unashani watanzania tunaingia online mda wote???ww mwenyewe unaingia dk 5 unasepa
Sorry anayehitaji msaada anaweza kuniandikia muda wowote kwa email:healthwealthfirst@gmail.com
 
Sorry anayehitaji msaada anaweza kuniandikia muda wowote kwa email:healthwealthfirst@gmail.com

nimekuandikia hujanijibu na plz tuambie unapatikana wapi.mbona unakuwa mgumu sana kuelewa???mbona biashara yako ni siri???mbona unafichaficha???
 
nimekuandikia hujanijibu na plz tuambie unapatikana wapi.mbona unakuwa mgumu sana kuelewa???mbona biashara yako ni siri???mbona unafichaficha???

ukiona mtu anafanya biashara kwa kujificha ata namba za simu ataki kuweka,na mahali anapopatikana ujue uyo ni tapeli,babu mwenyewe wa loliondo alikuwa muwazi,kama mtu biashara yako ni uhakika na kweli hakuna aja ya kuficha namba ya simu na mahali unapopatikana
 
kula mapapai na maji mengi. usisahau mboga kwa ajili ya kupata fibres..
Tafadhari wana jf na Doctors naombeni msaada wenu..nina shida tumboni mwangu nahic chakula kutosagwa ipasavyo kwa sbb mara zote nikila tumbo hubaki hivyo hivyo kwa muda mrefu sana..na mara nying sihic njaa..huuma na ngurumo kibao..ni kama cku mbili zimepita cjaenda hospital bado..mwenye kujua anisaidie,natanguliza shukuran.
 
ALOE SIDE EFFECTS & SAFETY Madhara ya Kutumia ALOE VERA GEL HAYA HAPA CHINI

Aloe gel is LIKELY SAFE when applied to the skin and POSSIBLY SAFE when taken by mouth in adults. Once in a while aloe gel might cause burning and itching of the skin.

Taking aloe latex is POSSIBLY UNSAFE at any dose, but LIKELY UNSAFE when taken in high doses. Aloe latex can cause some side effects such as stomach pain and cramps. Long-term use of large amounts of aloe latex might cause diarrhea, kidney problems, blood in the urine, low potassium, muscle weakness, weight loss, and heart disturbances. Taking aloe latex 1 gram per day for several days can be fatal.

There have been a few reports of liver problems in some people who have taken an aloe leaf extract; however, this is uncommon. It is thought to only occur in people who are extra sensitive (hypersensitive) to aloe.

Special Precautions & Warnings:

Pregnancy or breast-feeding:
Aloe -- either gel or latex -- is POSSIBLY UNSAFE when taken by mouth. There is a report that aloe was associated with miscarriage. It could also be a risk for birth defects. Do not take aloe by mouth if you are pregnant or breast-feeding.

Children: Aloe is POSSIBLY UNSAFE for children when taken by mouth. Children younger than 12 years old may experience abdominal pain, cramps, and diarrhea.

Diabetes: Some research suggests aloe might lower blood sugar. If you take aloe by mouth and you have diabetes, monitor your blood sugar levels closely.

Intestinal conditions such as Crohn's disease, ulcerative colitis, or obstruction: Do not take aloe latex if you have any of these conditions. Aloe latex is a bowel irritant. Remember, products made from whole aloe leaves will contain some aloe latex.

Hemorrhoids: Do not take aloe latex if you have hemorrhoids. It could make the condition worse. Remember, products made from whole aloe leaves will contain some aloe latex.

Kidney problems: High doses of aloe latex have been linked to kidney failure and other serious conditions.

Surgery: Aloe might affect blood sugar levels and could interfere with blood sugar control during and after surgery. Stop taking aloe at least 2 weeks before a scheduled surgery.

Chanzo.
ALOE: Uses, Side Effects, Interactions and Warnings - WebMD

aloe-vera-gel.jpg

Mujihadhari na madawa kutumia pasipo kuangalia je yana madhara kwa binadamu au hayana? Muwe waangalifu sana Jaribu kupata ushauri kwa Madaktari kabla ya kutumia Dawa.


 
Kula whole grains kama brown rice na ugali wa dona. Matunda na mboga za majani. Nenda hospitali, unaweza kuwa na infection tumboni.
 
Haya madawa ya wacheza kamari! Uwe mwangalifu sana na hizo biashara za kuvuna pesa kwa kutangaza eti madawa kwa ajili ya afya bora. Wanacheza kamari kwenye afya za watu. Watch out! Tafadhali nenda hospitali
 
Back
Top Bottom