Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
Oh haleluya! Glory to God!Njoo ufanyiwe maombi SHARO! kwa jina la YESU!! njoo ufanyiwe maombiiiiiii
Nimependa analysis yako? Ila nafikiri ni asili ya binadamu kutoridhika, au kutaka more n more na ambayo inamfanya kuwaza, ...,what is out there?....., na kujaribu!
Mara nyingi hiyo hali umeleta maendeleo, ingawa upande wake wa pili imeleta shida, hasa kwenye mahusiano!
Kuna mtu mmoja alielezea shida za wanaume, yeye alieafananisha na watoto, alisema!
-men r like chidren, they never grow up however old they become!
-they talk about freedom, still complain about loneliness!
-they crave for a hone yet they say marriage put them in chain!
So ndugu yangu, nafikiri muhimu ni kuenjoy kila dakika ya maisha yako!
Nakupata side, but mwingine anaweza kudhani maisha ya fulani ni bora kuliko ya mwingineHiyo ndio maana halisi ya maisha na kuishi. Ni kama Jua na Mvua, kwamba vyote ni muhimu na vinaitajika kwa wakati tofauti tofauti na haviwezi kupendwa vyote kwa wakati mmoja na pia si kila kimoja kikapendwa na watu wote kwa wakati mmoja. Mfano: mvua ikinyehsa wote hufurahia lakini kwenye mafuriko huitaji jua, mvua ikinyesha twafurahia mgao wa umeme unaisha lakini maisha hapo dar kwa walala hoi kama mie huwa ni kero kwa madimbwi na shida ya usafiri makazini coz huwezi kuchapa rapa, lakini vijijini pia barabara hazipitiki na magari hukwama kutokana na ubovu wa barabara. Jua likija, matatizo ya kukosa mvua huanza, ukame ikiwa ndio kilio kikuu. Hiyo ndio maana ya maisha huwezi tosheke na kufurahia kitu kimoja kwa wakati wote.
Kanaelezea reality msela wangu.salama tu nenda kamuombe Mungu wako...kisela ka uzi kana choma..