Matatizo sugu ya watanzania haya hapa

Matatizo sugu ya watanzania haya hapa

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
1,389
Reaction score
285
Kwa mtazamo wangu nimegundua matatizo yetu sisi watanzania ni haya yafuatayo; 1.UZEMBE 2.UBINAFSI 3.UCHOYO 4.WIVU 5.MAJUNGU 6.FITNA 7.ULAFI 8.WOGA 9.UNAFIKI 10.UROHO Ndugu mwaJF UNAWEZA KUONGEZA MATATIZO TULIYO nayo KWA HAPO JUU.Tukumbuke madudu yanayotoke kila mahali katika sekta mbalimbali chanzo ni MATATIZO NILIYO yataja hapo juu
 
Watu kama wewe pia ni tatizo kubwa saana kuliko hata hayo uliyoyataja hapo juu.

Pia wewe kwani hata unavyo comment bila kutoa matatizo ya unaye mlenga yanaashiria uvivu na majungu ni matatizo uliyo nayo wewe.JIREKEBISHE MKUU
 
Back
Top Bottom