Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
WalaaVp yamekukuta? ? Maana hiyo tabia mnazo zaidi mabinti
Mzee Wa kubetMwenye games za Australia saa mbili ahsubuhi hii. Leteni mikeka basi
Ha ha ha ha Daah nimepost huku tenaMzee Wa kubet
Kuna MATATIZO yanatufuata na kuna matatizo tunayakaribisha wenyewe.
Unapokuwa KATIKA ndoa yako na kisha ukaanza "kuchati" na mtu ASIEKUWA jinsia yako kwa mazungumzo ya kuamsha HISIA basi hisia zikiamka ni DHAHIRI kwamba utaanza FIKIRA za kuisaliti NDOA.
Ni TATIZO lililokaribishwa.
Si wanasema ukiachana vizuri na ex wako mnaweza mkaendelea kuwa marafiki wazuri tuKweli kabisa. Tena utakuta mtu mwingine anachat na ex! Nothing good will come out of it anyway.
Ha ha ha ha, unapewa haki yako tu, ila raha sana binti akitaka mwenyewe
Hakuna kitu kama hicho. Mkiwa marafiki Kuna mawili unaweza kuanza kumuonea wivu juu ya mahusiano yake alionayo sasa au ukikuta yupo na mahusiano yasiyo na furaha atataka apumzishe nafsi yake kwako. Kitu ambacho ni hatari kwa mahusiano yako ya sasa. Waswahili wanasema ukitumia mua kama fimbo ya kutembelea ipo siku utaula tu.Si wanasema ukiachana vizuri na ex wako mnaweza mkaendelea kuwa marafiki wazuri tu