Matatizo kwa baadhi ya wanaume sasa basi

Nyambaf.....miaka 4000 nani kahesabu au wewe ulikuwepo tangu utafiti huo unafanyika ???

Usiwe na wasiwasi Eric. Hii haina madhara yoyote katika afya na wala siyo dawa. Imefanyiwa utafiti wa miaka 4000 hadi sasa inakubalika kutumika kwa kuzingatia vithibitisho vyote vya kiafya.
 
Nyambaf.....miaka 4000 nani kahesabu au wewe ulikuwepo tangu utafiti huo unafanyika ???

Huwa reseach zinafanyika muda mrefu sana kwa maisha ya kila siku ya mwanadamu. Wazee wa zamani walikuwa na products nyingi sana walizotumia kuondoa matatizo. Je nikuulize wewe unafahamu majani ya aina ngapi kwa ajili ya kuondoa matatizo? Watu tumebaki kukimbilia hospitalini tu siku hizi na hatufahamu lolote. Wenzetu wanafanya research na kuweza kuhifadhi na kuendelea kuboresha kutokana na ukuaji wa teknolojia hadi sasa hata sisi tunaweza kupata hizo products zikiwa katika mfumo huo.
 
Jamani hii hatari. Hivi vitu vingine vya kichina vinahatarisha maisha yetu. Binafsi naona dawa nzuri ya kupandisha nyege ni sinema za X. Ukishakula ugali wako, umeoga na ume relax, weka tu pilau (sinema ya X) haifiki dakika 3 dude hilo limesimama linatafuta shimo la kwenda kujificha.
 
Wadau napenda sana kuwashukuru kwa comments nzuri mnazonitumia kwa kuelezea namna mnavyosaidika kwa hizi products. Ningependa muziweke hizo hapa hadharani kama hamtajali sababu lengo ni kuendelea kusaidiana kwa kuwa wengi wanahitaji msaada na wengine ni waoga kujitokeza. Nashukuru
 
Back
Top Bottom