Daniel Aloyce Daniel Member Joined Jun 15, 2019 Posts 83 Reaction score 106 Oct 27, 2026 #1 Sijui ni Mimi tu au na wengine wanapata hii changamoto? Kwa upande wangu mfumo mzima wa kujaza online unasumbua. Mtu akijaza taarifa step one, akifika step ya 2 akajaza, inamrudisha step one. Ni kwanini, ni matatizo ya mfumo au ni Nini?
Sijui ni Mimi tu au na wengine wanapata hii changamoto? Kwa upande wangu mfumo mzima wa kujaza online unasumbua. Mtu akijaza taarifa step one, akifika step ya 2 akajaza, inamrudisha step one. Ni kwanini, ni matatizo ya mfumo au ni Nini?