Matatizo app ya NMB Mkononi

Matatizo app ya NMB Mkononi

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2020
Posts
5,033
Reaction score
15,578
NMB Tanzania
Kunani NMB? Hii app imegoma kufanya kazi inaniambia 'use original simcard', simu yangu ina line moja na ndio hiyohiyo niliyosajilia NMB mkononi (NMB mobile), tatizo nini?

Update:
Njia hii iliyopendekezwa na mwana jf imekubali
Fanya hivi...inawezekana laini unayotumia cyo ulosajilia nmb mobile

Weka laini ulosajilia....isajili kwenye mifumo yote...data...message na calls....au unaweza kuchagua viwili kati ya hvyo

Ukifanya hvyo itakuwa poa...mimi ilishankuta nkafanya hvyo...mambo n poa mda huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni line hiyohiyo, labda ngoja ni cheki kwenye kui set iwe default kwenye sms na calls
 
Fanya hivi...inawezekana laini unayotumia cyo ulosajilia nmb mobile

Weka laini ulosajilia....isajili kwenye mifumo yote...data...message na calls....au unaweza kuchagua viwili kati ya hvyo

Ukifanya hvyo itakuwa poa...mimi ilishankuta nkafanya hvyo...mambo n poa mda huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuu, imekubali baada ya kuiset ile line niliyosajilia kuwa default kwenye sms na calls pamoja na data, nashangaa kwanini nilipopiga simu nmb hawakuniambia haya.
 
Fanya hivi...inawezekana laini unayotumia cyo ulosajilia nmb mobile

Weka laini ulosajilia....isajili kwenye mifumo yote...data...message na calls....au unaweza kuchagua viwili kati ya hvyo

Ukifanya hvyo itakuwa poa...mimi ilishankuta nkafanya hvyo...mambo n poa mda huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mark this as an answer mtoa mada ili iwe msaada kwa wengine

Hata mm nlitumiaga hii mbinu na problem ikawa solved

Nashauri jamii forum iweke kitufe cha best answer kwenye maswali ya wadau yaliyopata ufumbuzi ili wasoma nyuzi wasiteseke kutafuta majibu ya maswali yaliyoshughulikiwa
 
Badala uende kwenye tawi lako,Sasa umekimbilia JF kwani humu ndiyo NMB
 
Back
Top Bottom