Fanya hivi...inawezekana laini unayotumia cyo ulosajilia nmb mobile
Weka laini ulosajilia....isajili kwenye mifumo yote...data...message na calls....au unaweza kuchagua viwili kati ya hvyo
Ukifanya hvyo itakuwa poa...mimi ilishankuta nkafanya hvyo...mambo n poa mda huu
Sent using Jamii Forums mobile app
😛😛😛Nilivyosoma hiyo title nikajua umegundua security flaws kwenye hiyo kitu.
Hapo umeshakula na salary Advance..Nilianza usikilizia tokea Ijumaa. Sasa usiulize nimefikaje Jumatatu.
Hadi muda huu kimya mkuu!Mkuu niwie radhi,usipo ingia tuchekiane tuwezeshane,maana inaonekana upo serious mnoo.
Hahahaahahh tatizo makuku rey upo Tunduma na huna hata dalaMkuu uhakika?tusije tukavunjiana heshima hapa jf!miongoni mwa watu nnaowaheshimu humu barazan na wewe umo!sasa Kama umeanza uongo Hi I
Sent using Jamii Forums mobile app
Mule Mule mzee. Dah haya maisha ayaHapo umeshakula na salary Advance..
Hahahaaa! Naona watumushi hizi maada zinakuja sana mwisho Wa mwezi.. Inaonekana hamjapewa..NMB Tanzania
Kunani NMB? Hii app imegoma kufanya kazi inaniambia 'use original simcard', simu yangu ina line moja na ndio hiyohiyo niliyosajilia NMB mkononi (NMB mobile), tatizo nini?
Update:
Njia hii iliyopendekezwa na mwana jf imekubali




Mkuu niwie radhi,usipo ingia tuchekiane tuwezeshane,maana inaonekana upo serious mnoo.
😀😀😀 Yaani kama ni gari basi inatembelea rim muda huuHahahaaa! Naona watumushi hizi maada zinakuja sana mwisho Wa mwezi.. Inaonekana hamjapewa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha!
NMB Tanzania
Kunani NMB? Hii app imegoma kufanya kazi inaniambia 'use original simcard', simu yangu ina line moja na ndio hiyohiyo niliyosajilia NMB mkononi (NMB mobile), tatizo nini?
Update:
Njia hii iliyopendekezwa na mwana jf imekubali
yaani ni app nzuri ila kwenye kulazimisha kutumia hiyo line ulioregister for security reason wamefail sana,tumepiga kelele kwenye review's mpaka tumechokaHii App NMB wamefeli sana. Yaan ni application lakini inakulazimisha utumie laini hiyo hiyo tu..Wi-fi haikubali wala laini nyingine kwenye internet maana yake ukiwa nje ya nchi huwezi kuitumia japo ni App na hata ukiwa eneo lisilo na network ya hiyo laini uliyoisajili huwezi kupata access ya account yako...ukiwauliza wanasema eti security reason..mbona CRDB APP yao ina run kokote ata Wifi fresh tu na hakuna shida..inamaana crdb sio secured...NMB App na mfumo wa kawaida wa USSD (*150*66#) hazina tofauti kabisa.
NMB vilaza jifunzeni kwa wenzenu CRDB
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamefeli sana kwenye hilo.Hii App NMB wamefeli sana. Yaan ni application lakini inakulazimisha utumie laini hiyo hiyo tu..Wi-fi haikubali wala laini nyingine kwenye internet maana yake ukiwa nje ya nchi huwezi kuitumia japo ni App na hata ukiwa eneo lisilo na network ya hiyo laini uliyoisajili huwezi kupata access ya account yako...ukiwauliza wanasema eti security reason..mbona CRDB APP yao ina run kokote ata Wifi fresh tu na hakuna shida..inamaana crdb sio secured...NMB App na mfumo wa kawaida wa USSD (*150*66#) hazina tofauti kabisa.
NMB vilaza jifunzeni kwa wenzenu CRDB
Sent using Jamii Forums mobile app