Matapeli watawaibia sana wasiojitambua

Mandison

Senior Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
191
Reaction score
116
Hii sms imetumwa kwangu na mtu nisiyemfahamu akinielezea jambo nisilolifahamu au hata kuwahi kuzungumzia.


''SHEMEJI LEO NIMEFANIKIWA KUPATA NAMBA ZA MGANGA WA JADI ALIYE NISAIDIA KTK BIASHARA ZANGU NA KURUDISHWA KAZINI NAMBA ZAKE NI 0752949132 MPIGIE ATAKUSAIDIA''
 
Hao wapo wengi mkuu naona hali ya maisha inazidi kuchanganya watu mi huwa wananitumia kila siku meseji za namna hio afu uandishi wao ni wa hovyo hovyo
 
Mi nataka mganga wa jadi atakayeniambia Dow Jones Industrial Average Futures zitaangukia wapi kwa siku saba zijazo.

Akiweza kuniambia halafu akapatia siku zote, nikishapiga hela ndefu kwenye Futures za Dow Jones,nitampa zawadi nono ya 10% ya faida nitakayopata.

Nitafutieni mganga huyo haraka sana tumalize ubishi hapa.
 
hali ngumu, wabunifu wanaongezeka kwa kasi, the irons are tightened
 
Hizo msg zinaboa sana,huwa najiuliza hivi nikiamua kumfuatilia nikamiona halafu nikampiga risasi sijui itakuwaje
 
hakuna mganga atakaye elewa ulichomaanisha hapa
 


Hawa jamaa akili zao ndogo sana
 
Hizo msg zinaboa sana,huwa najiuliza hivi nikiamua kumfuatilia nikamiona halafu nikampiga risasi sijui itakuwaje
Mkuu
Unazo hizo risasi?? Hao ni kuwapotezea tu. Huwa tunazipata nyingi na nyingine ati zile nafasi za kujiunga jeshi zimetoka. Nitumie majina ya wale watoto wawili. This is just bullshit man. Utakuwa taahira kutumbukia kwenye mtego butu kiasi hicho
 
ndio nini mkuu nitoe tongotongo
 
ndio nini mkuu nitoe tongotongo
Chukulia kama ku bet ligi nani atamfunga nani kwa siku saba mfululizo, mganga akupe majibu uende ku bet, ukipata hela kapatia pote, umpe 10% yake.

Kwenye Stock Market lakini.

Mganga atakayeweza hiyo kazi nitamuamini kwamba yeye mganga kweli.

Vinginevyo uongo mtupu.
 
Ingekuwa hivyo makete ingekuwa dubai
 
Ingekuwa hivyo makete ingekuwa dubai
Hahahaa, kivipi?

Uchumi huwa una namna yake kubana.

Ingewezekana hivyo wanaoendesha biashara za ku bet wangepata hasara halafu wangefunga biashara.
 
Hahahaa, kivipi?

Uchumi huwa una namna yake kubana.

Ingewezekana hivyo wanaoendesha biashara za ku bet wangepata hasara halafu wangefunga biashara.
Tungekua tunabet makampuni ya ulaya,tunaamua mapato yote ya manispaa mwezi october tunabet kwa kumsikiliza mzee kitipura
 
Tungekua tunabet makampuni ya ulaya,tunaamua mapato yote ya manispaa mwezi october tunabet kwa kumsikiliza mzee kitipura
Hahaaaa,tunakomboa tulivyoibiwa enzi za ukoloni ati.

Wangeshangaa wenyewe. Hawa wabongo mbona hawakosei?

Wangewapiga ban woote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…