Matapeli wanaongezeka kila siku

Daktari wa Manchester

JF-Expert Member
Jun 1, 2020
350
401
Habari za mchana . Natumaini wote wazima wa afya kama unaumwa kidg Mungu akusaidie

Nina tatizo kdg mana Kuna rafiki yangu kanusulika kutapeliwa mana hata sielewi story ipo hivi

Jamaa alitumiwa Hela kiasi Fulani hivi ila baada ya mda Kuna mtu akampigia akasema Kuna Hela imetumwa Bahati mbaya ikapelekea jamaa yangu kuambiwapiga *33*0000# baada ya hapo jamaa akapiga ikapelekea jamaa angu hata akipiga sim inasema kwamba Kuna tatizo ila kwa wateja wa voda tuu ila mitandao mingine akiwapigia watu wanapatikana

Kwa hyo anayefahamu Hilo tatizo atusaidie kidg tafadhali
 
Hiyo ni code ya kuzuia simu zote ambazo utakua unazipiga so utakua unaweza kupigiwa ila siyo wewe kupiga. Na kwa ninavyojua hauwezi kupiga namba yoyote.

Ili kuondoa hiyo activation utabonyeza #33*0000# kisha Ok
 
Hiyo ni code ya kuzuia simu zote ambazo utakua unazipiga so utakua unaweza kupigiwa ila siyo wewe kupiga. Na kwa ninavyojua hauwezi kupiga namba yoyote.

Ili kuondoa hiyo activation utabonyeza #33*0000# kisha Ok
Nimekupata mkuu
 
Hili NI kosa umeharibu uzi wako aliyekuambia wasukuma hawajui mambo hayo ninani?? Kabila lake siyo hoja. Mtu na uelewa wake tu mbona wanatapeliwa watu na mashule Yao na NI wa hapa mjini? Au hujui Hilo?
Wasukuma wengi ni washamba usibishe mkuu..mbaya zaidi ni watu flani hivi abao hawapendi kuuliza kwa kile wasichokijua au kujifunza....
 
Kama ni msukuma mpige Kofi la kisogo ili ubongo ukae sawa maana msukuma hawezi kumiliki simu na kumaliza siku bila kupiga wrong number hata mbili, Yan siku haiwez kuisha salama lazma ampigie simu mtu asiemjua alaf analazimisha kuongea nae kisukuma
 
We mjanja ambaye sio msukuma mbona umeshindwa kutatua hilo tatizo,hadi unakuja kujiriza hapa kama demu kaona mende
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom