Mzee mandondo miaka ya 1980.aliwavesha wananchi na viongozi ilizi wajikinge na wachawi akupiga hela ya ukweli akapotea
Babu wa loliondo 2012,kawanyesha viongozi wa chama ,serikali na wananchi maji ya kuchemsha wakizani ni dawa ya ukwimwi,akabiga hela ya maana kajenga mjengo wa maana na VX anayo
NITAJIE WENGINE UNAOWAFAHAMU?
Mawaziri Karibu Wote Tanzania ( Ndiyo Wanaoitikisha Tanzania ) Ukiondoa tu Wapambanaji Wawili Dk. John Pombe Magufuli na Dk. Harrison Mwakyembe na Kinachonifurahisha pia Kwa Hawa ni Kwamba Doctorates Zao Wamezisomea Darasani na Kuzihangaikia na Zimewasaidia na Wanazitumia Vizuri ila Wengi Wao Phd's Zao ni Za Kirafiki tu na Za Kupewa au Za Kuhonga na Ndiyo Kikwazo Kikubwa Kwa Maendeleo Ya Nchi Yetu Tanzania.