YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Nimeshangaa Pemba kuko nyuma kwa kila kitu wakati watu wa pemba walioko nje ya pemba ni matajiri wa nguvu.Hivi kwa nini matajiri hao wakubwa hupenda kujenga Tanzania bara na Unguja wasijenge kwao? Kwa nini wasianzishe viwanda na mabiashara makubwa makubwa pemba?
Ikifika wakati wa uchaguzi matapeli hao wa kisiasa huenda mbio kwenda kuwalaghai maskini walioko Pemba wawape kura.Wakipata kura matapeli hao hutimka zao na kwenda kuishi zao Unguja, Tanzania bara na nchi za nje ambako wana majumba,magorofa na biashara za uhakika.
Pemba jamani kunatia huruma utafikiri kumepigwa bomu.Kumechoka kumejaa ulofa kila eneo
Wakati ufike wapemba walioko Pemba wawakatae hao matapeli wa kisiasa wenye makazi yao unguja na Tanzania bara.
Wanaopiga kelele wote mambo ya Zanzibar si wakazi wa Pemba.Makazi yao yako nje ya Pemba.