Katika maisha yote yanawezekana kabisa, hili lililokutokea lisiichafue JF natetea kwa sababu kuna watu wamepatana JF na mpaka sasa wanaishi kwa amani. Mimi mwenyewe ni mfano wa watu waliopata mchumba JF... I swear sikutegemea kupata msichana wa namana hii popote pale katika maisha ya kawaida but JF imenipatia msichana like an angel vile.
Nina amani sana naye, I believe ana amani sana nami pia! Swala la msingi chunguza njia zako ulizotumia mpaka kutaka kuonana na huyo dada... kama ni mke wa mtu kakufanyia hivyo wewe na huyo mke kuna kasoro ambayo si lazima tupeleke lawama JF...!
Nitaitetea JF mpaka yanikute kama yako ila nahisi vigumu maana nilisha pata nilipohitaji mchumaba na sasa naishi hapa kama uwanja wa nyumbani sijawah tongoza tena na haitatokea... kama kuna mtu kaingia hapa kwa kufanya JF ni uwanja wa Fisi tegemea zaidi ya hayo.
Mshukuru Mungu amekupa warning ya maisha.
MY TAKE:
Jambo analo lala mika mtoa mada lipo na linahitaji umakini sana hasa kwa wale ambao wanakutana hapa ndani na within a week wanakuwa wamefahamiana na kujuana this is too risky.
Haimaanishi watu wasiende MMU au Love Connect but you always have be take risk before you achieve.
Narudia kuwa nimepata msichana ambaye anafanana sana nami kwa mwenendo wake hapa JF... I hope ntampenda daima nilipokuwa natafuta sikutegemea kuwa ntaweza pata such a lady! So hili swala la mtoa maada lisipuuziwe na vilevile lisiwaondolee ujasiri wenye bahati zao kukutana hapa.
Ni vizuri ukimtaja huyo muhusika hapa.