Matapeli sugu wa mtoni Mtongani akina ntunyungu

Yaan tanzania hii ya sasa 2naish kama 2naigiza maana viongoz hawapo sensitive and by da way police nao wameluz control
 
Wizi kwa mawakala wa tigopesa - Mwizi akamatwa

Tahadhari kwa mawakala wote wa Tigopesa

Wezi kwa kushirikiana na wafanyakazi wa tigopesa wamekuwa wakiwaibia mawakala wa tigopesa kila kukicha. Wiki iliyopita maeneo ya Kimara mtu mmoja kwa Jina la Ally Mohamedi alikamatwa baada ya kutoa pesa kwa kutuma msg hewa. Msg huoneka imetoka tigopesa kama kawaida ila inakuwa na makosa mengi ikiwepo number ya simu ambao wanakutumia namba yako ya uwakala, pamoja na tarehe feki na salio feki. Mtu huyu kwa Jina la Ally Mohamedi ni hatari sana na ameiba sehemu nyingi kama dodoma na kwingineko. Ukitafuta kwenye mtandao utamkuta ila inaonekana kote amefanikiwa kuachia na police. Mwezi huu aliiba maeneo ya Kimara na akakamatwa na kupewa mkong'oto wa kufa mtu. Alipotaka kuchomwa moto wasamaria wema walimtetea asiuwahe. Na alipopelekwa kituo kidogo cha police Kimara - wanamtandao wenzako walienda kumchomoa haraka na sasa ametoweka. Sijui rushwa itaisha lini police. Picha za kitambulisho chake hiki hapa. Kuweni makini huyu jamaa ni hatari sana. Anashirikiana na wafanyakazi wa tigo kuiba.

ahsante sana kwa taarifa hii, kumbe ndio hawa wanopiga simu za madawa ya mifugo na samaki , kweli hawafai
wanakupangia ajali kisawasawa, kuepuka ni bahati sana. walishanipigia mara mbili kuhusu madawa na wanahusisha madaktari na uongo mwingi.

kweli kunatakiwa kukomeshwa ila siyo bure hawa
 
Matapeli hawa wanalindwa na nani?
Kwanini hawakamatwi?
wanalindwa na mfumo mbovu wa polisi wetu, na wakati mwingine wanakula na polis!!
inatia uchungu mtu anaibiwa/analizwa lakini anakata tamaa hata kwenda polisi sababu anafahamu huko polisi atakwenda kupoteza muda wake tu , na kuombwa ombwa virushwa na mtuhumiwa wake hatakamatwa na akikamtwa ni danadana!
 
Mamlaka husika zina haja ya kuangalia mwenendo upya wa polisi. Mwananchi akipata tatizo na kuenda polisi badala ya kusaidiwa polisi watakudai pesa hata za kufuatilia tukio. watakutoa pesa na mwishoni hakuna msaada. hata wakimkamata muhusika pia ni kama umewasaidia kwani watamsonga atoe chochote wamnusuru.

Kwa habari ya huu utapeli, kuwa makini usipende vitu vya shortcut, kwani vingi huwa ni utapeli tu
 
Huyo Mtunyungu anafahamika sana na police na anashirikiana nao na hiyo nyumba ya mtongani polisi wanaijua na nyingine ipo ubungo kibangu....jamaa yangu alipigwa 2m tuliweka mtego binafsi tukamnyaka lakini tulipompeleka polisi kituo cha urafiki huwezi amini alikingiwa kifua na askari mpelelezi mkubwa tu na nusu kibao kitugeuke kwa ahadi ya kulipwa mpaka leo.....Wengine waobandija matangazo ya kazi kwenye vituo vya daladala Mlimani City mpaka leo wanaliza watu kwa kazi za uderreva ukijichanganya unaliwa na utaona jinsi mitandao ya simu inavyowakingia kifua pindi utakapojidai unawafiatilia kwa simu...na danadana za polisi balaa...
 
Kobomoa nyumba vile tu inatumika na matapeli ni wehu, ni kama kuchoma pesa au bunduki vile tu inatumika na majambazi, taifisha nyumba weka kituo cha polisi au kulelea watoto yatima
 
Pamoja na kulaumu polisi lakini kutapeliwa ni uzembe na anayetapeliwa anatamaa ya kupata mteremko.
Maisha sasa hivi yako nginga nginga na hakuna vya dezo. Punguzeni tamaa mnawalaumu bure wakati mnatakiwa kujilaumu kwanza
 
mkuu wewe ni mjanja sana ujawahi tapeliwa na hutakuja kutapeliwa, mark my words.

Back
Top Bottom