E enny mchuz Member Joined Feb 23, 2013 Posts 33 Reaction score 1 Apr 25, 2013 #1 jaman wana jamvi kuna watu wanajidai eti wamechagua watu kama asstant managers kwenye project za kahama na maeneo mengine,wametuma mail zao sasa wanaanza kuomba pesa eti laki 4 ukipata kazi unampa laki 3,jaman aliyepata sms hii ajihadhali wadau
jaman wana jamvi kuna watu wanajidai eti wamechagua watu kama asstant managers kwenye project za kahama na maeneo mengine,wametuma mail zao sasa wanaanza kuomba pesa eti laki 4 ukipata kazi unampa laki 3,jaman aliyepata sms hii ajihadhali wadau