Kweli inasikitisha, watanzania tusaidiane jamani. wewe mtu ana HIV anataka kwenda kunywa dawa halafu unamwibia... It's not fair at all!
Kwa hiyo wizi ni halali!!mjini shule kaka,....
Kweli inasikitisha, watanzania tusaidiane jamani. wewe mtu ana HIV anataka kwenda kunywa dawa halafu unamwibia... It's not fair at all!
Tunaomba Mungu aponye watu wake na gonjwa hili. Mimi swali ni kuwa je baada ya kupona hao wagonjwa halafu nini? Je gesti zitafungwa au ndio zitahitajika zaidi? Kondom je/ Njaribu kupiga picha taifa zima halina matatizo ya ukimwi...Nipeni mawazo.
tunaomba mungu aponye watu wake na gonjwa hili. Mimi swali ni kuwa je baada ya kupona hao wagonjwa halafu nini? Je gesti zitafungwa au ndio zitahitajika zaidi? Kondom je/ njaribu kupiga picha taifa zima halina matatizo ya ukimwi...nipeni mawazo.
itakuwa safi sana!! ila wazee kwa watu wa kisukari (ambao tayari nimeshuhudia kwa macho kuwa amepona) kulingana na mateso aliyopata sidhani kama atarudia tena starehe za bila kuwa na kiasi!!ukirudia unakufa