Matanuzi ya Ali Bongo

Matanuzi ya Ali Bongo

Enzi za utawala wake,

Rais aliyepinduliwa wa Gabon, Ali Omar Bongo aliwahi kuagiza Theluji bandia kutoka Ulaya na kuwekwa kwenye Ikulu ya Rais, ili familia yake isherekee Krismasi kwenye Theluji kama wapo Ulaya.

Kibaya zaidi ni kwamba [emoji116]Asilimia 33.4% ya wakazi wa Gabon, wanaishi katika umaskini wa kutupwa licha ya taifa hilo kuwa na utajiri wa mafuta pamoja na idadi ndogo ya raia wasiozidi milioni 2.4 pekee.

Afrika yetu sijui ilirogwa na nani aisee [emoji1544]

View attachment 2733831
Ila nakukumbusha tuu kwamba kama wewe ni kajamba nani utaishia hivyo hivyo.

Aliyepindua yule Jenerali ni Mtu na mjomba wake na Ally Bongo 😆😆😆😆

Katika Fisi kaingia mbweha
 
Hakuna mapinduzi yasiyo na tija, kila mapinduzi ni mpango sahihi wa kuiokoa nchi kutoka kipindi kigum cha utawala usiotii sheria na katiba, kwenda kwenye maziwa na asali, jeshi haliongozi nchi milele ni kwa muda tu nchi ikishatulia wata andaa tararibu za uchanguzi mkuu masoja watasimamia wenyewe
 
Enzi za utawala wake,

Rais aliyepinduliwa wa Gabon, Ali Omar Bongo aliwahi kuagiza Theluji bandia kutoka Ulaya na kuwekwa kwenye Ikulu ya Rais, ili familia yake isherekee Krismasi kwenye Theluji kama wapo Ulaya.

Kibaya zaidi ni kwamba [emoji116]Asilimia 33.4% ya wakazi wa Gabon, wanaishi katika umaskini wa kutupwa licha ya taifa hilo kuwa na utajiri wa mafuta pamoja na idadi ndogo ya raia wasiozidi milioni 2.4 pekee.

Afrika yetu sijui ilirogwa na nani aisee [emoji1544]

View attachment 2733831
Kichwa kikubwa,akili ndogo
 
Kama yule alikua dictator na kama wazungu walivosema na Kupeleka jeshi kwann huko niger,Gabon na kwengine mapinduzi yamefanyika hawayataki?
Swali fikirishi
 
Back
Top Bottom