hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
Hashy: wewe ni mfupi mpaka kukinyesha wewe ndo unakuwa wa mwisho kujua..
Dena Amsi: Hayaaa..nyinyi tv yenu ni local mpaka undertaker wa wrestling anaitwa Massawe
Loyal Citizen: Usimcheke mwenzio wakati na yenu ni ndogo mpaka watu wa kusoma habari wanachuchumaa ndo muweze kuwaona vizuri..
Raia fluani: Dada zako ni wabaya mpaka baba yenu ameandika kwenye geti, "Marry 1 get 2 free"..teh teh teh..
Katavi: Paka wenu ni mzee amebakisha siku moja awe simba..
Unata unataka...
Hashy: wewe ni mweusi mpaka ile siku ulizaliwa madokta walishtuka, "Yesu na Maria, kameungua..."
Twende twende..
Mwangalie kwanza, wewe ni mchafu mpaka ukilalia mashuka masafi unapatwa na homa!!!!
hii hili vipi? cheki ndevu ka uchafu wa sumaku