Matani

Fredwash:Ndo maana wewe hutoroka kazini kwenda kubembea na geti..
Masharubu: Wewe ni mchafu mpaka sabuni inakusengenya...
 
Hashy-wacha nikusifu: Nyie TV yenu ni kubwa mpaka Tom and Jerry wakikimbizana wao hupumzika katikati..kwa sababu ya kuchoka!
 
Pearl (nisamehe kama itafanana na ukweli): Wewe umekonda mpaka badala ya kutumia sanitary pads wewe hutumia..elastoplast!!!!! teh teh teh teh...
 
Haiwezekani. We mentor umezidi kuwapaka wenzio. Ndio maana ulipozaliwa tu ulipiga miayo badala ya kulia
 
...Mama yako amekomaa mpaka akinyonyesha anatoa maziwa ya unga!
...Kwenu ni wachungu mpaka mnalamba chujio..eti chai isipotee!
...We ni mwizi mpaka gari yako imebaki bila matairi!
...
 
...Mama yako amekomaa mpaka akinyonyesha anatoa maziwa ya unga!
...Kwenu ni wachungu mpaka mnalamba chujio..eti chai isipotee!
...We ni mwizi mpaka gari yako imebaki bila matairi!
...

Lizzy umejileta haya nakuona tu maneno mingi, wewe ulivyo mbaya mpaka ukijiangalia ktk kioo unascream!!
 
Twende twende...
....wewe ni mweusi kama vile ulipata ajali kwenye gari la KIWI...
....mat*ko juujuu kama breaki ya FIAT.......
....ww ni mshamba hadi kioo unakiita facebook..


BTW Salute kwa Mentor
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom