ndo maana kwenu ni insecure mpaka police station hufungwa 6pm!!!!!!
Mdomo mkubwa hadi unaweza kufanya kolabo mwenyewe
kwenda huko kichwa kama parachichi la kijiji
Mdomo mkubwa hadi unaweza kufanya kolabo mwenyewe
(Sex can kill u. Do u knw wht the human body goes through whn u have sex? Pupils dilate arteries constrict core temp rises, heart races, blood pressure skyrockets respiration becomes rapid and shallow the brain fires bursts of electrical impulses frm nowhere 2 nowhere and secretions spit out of every gland and the muscles tense and spasm like u're lifting 3 times your body weight. It's violent it's ugly and it's messy achana na ngono zembe ABSTAIN )duh...
Hashy wewe ni mbaya mpaka watu wanakuhire wakati wa matanga ndo wapate huzuni!
Jamani nilipokuwa mdogo hii ndo ilikuwa hobby yangu maana kwa umbo langu dogo sikuweza kupigana ila ukinikosea kidogo..nitakupa neno utakaa kimya mwenyewe!
Najikumbushia tu...(usinichukie...)
Unataka matani..
Nyani ngabu, una bichwa kubwa mpaka shuleni ulikuwa unaitwa Headboy! twende twende..
Fidel, wewe umekonda mpaka ukisimama kwenye ukuta unakaa kama crack...
Mzee mwanakiji demu wako amekonda mpaka akivaa t-shirt ya bluu anafanana na sim card ya tiGO..
Aspirin unamashavu kama mimba ya panya..
Na wewe Tukutuku uso kama shamba la matuta...
Unataka unataka..
Mwangalie kwanza, wewe Bigirita yaani wewe ni mbaya mpaka hutumia lotion inayoitwa 'why bother!'..teh teh..
Zak wewe ni mweusi mpaka ukirushiwa jiwe linarudi kuitisha tochi...
PS: On a light touch...
lione, limetoa macho utadhani mjusi kabanwa na mlango
ndiyo maana kura yako NEC walishindwa kuichakachua
umekomaa hadi ulipokuwa darasani ubaoni unaandikia kidole tu badala ya chaki