mENTO KICHWA KIKUBWA MPAKA KUSIKITIKA HUWEZI.Haha PEARL wewe sijawahi kukupatia yako:
Wewe umefulia mpaka wewe hushonewa nguo pocketless! teh teh teh...
duh ,umenikumbusha long tym
nlikuwa na zangu kama hizi nin nini twende..........nyumbani kwenu mpo wengi mpaka mtu akifungua mlango mnamwagika nje!!!!!!!!!!
Nini nini lione
mna dhambi mpaka shetani akiwaona anasema "jesus"
Sura mbaya mpaka ukienda auditions za horror movie we huambiwa..no experts pliz!
Muone kwanza miguu kaa tuth pikKichwa ngumu mpaka ulikataa kuzaliwa uchi!
Hahahaha nimekubali Mentor!!!Mpenzi wako mweusi mpaka powder anayotumia inatokana na mkaa!Tukutuku: Ndo maana wewe ni mnene mpaka ukikalia novel inakua short story!
Papa mopao: Nyie kwenu ni maskini mpaka mnapikaga chapati moja afu mnaitoa photocopy
Ivuga: Na wewe ni mlafi mpaka we huonja maji ya ugali kama yameiva
Lizzy: una macho makubwa mpaka we huitwa eyewitness..lol!!!
Wewe una kichogo kikubwa mpaka ukigeuka haraka unaweza kujiona!