Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Jun 23, 2017 #1 Huu uzi maalum kwa kupigana matani ..wanawake kwenda kwa wanaume na wanaume kwenda kwa wanawake 1.WANAWAKE NI WATU PEKEE WANAOVUA HADI NYWELE WAKIENDA KUOGA 2.WANAWAKE WANAPENDA HAKI SAWA LAKINI KULIPA BILI WANAKUWA WAGUMU HAOOO
Huu uzi maalum kwa kupigana matani ..wanawake kwenda kwa wanaume na wanaume kwenda kwa wanawake 1.WANAWAKE NI WATU PEKEE WANAOVUA HADI NYWELE WAKIENDA KUOGA 2.WANAWAKE WANAPENDA HAKI SAWA LAKINI KULIPA BILI WANAKUWA WAGUMU HAOOO
mmassyferguson Member Joined Nov 28, 2013 Posts 69 Reaction score 76 Jun 23, 2017 #2 Wanawake nitakupenda mpaka mwisho wa maisha yangu lakin pakitokea hatari mkiwa nae yy anakimbia
holy holm JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 4,792 Reaction score 9,192 Jun 23, 2017 #3 Nyie wanawake vichwa vyenu vikubwa kama Mbingu yooooote..
Mehek JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 7,473 Reaction score 10,429 Jun 23, 2017 #4 mmassyferguson said: Wanawake nitakupenda mpaka mwisho wa maisha yangu lakin pakitokea hatari mkiwa nae yy anakimbia Click to expand...
mmassyferguson said: Wanawake nitakupenda mpaka mwisho wa maisha yangu lakin pakitokea hatari mkiwa nae yy anakimbia Click to expand...
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Jun 23, 2017 Thread starter #5 mmassyferguson said: Wanawake nitakupenda mpaka mwisho wa maisha yangu lakin pakitokea hatari mkiwa nae yy anakimbia Click to expand... Wanaogopa mpaka nzi sent from dj room
mmassyferguson said: Wanawake nitakupenda mpaka mwisho wa maisha yangu lakin pakitokea hatari mkiwa nae yy anakimbia Click to expand... Wanaogopa mpaka nzi sent from dj room
Sam next Senior Member Joined Sep 25, 2016 Posts 119 Reaction score 133 Jun 23, 2017 #6 Wanawake wakikunja ngumi wanatanua mikono
john issa JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 915 Reaction score 1,758 Jun 23, 2017 #7 Wanawake ni watu pekee wanaonyoa nyusi na kuchora zao
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Jun 23, 2017 #8 Wanaume ****
byongo JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 827 Reaction score 1,947 Jun 23, 2017 #9 Mwanaume mfedheheshe na matusi yote hatojali,ukitaka umuweze mwambie shughuli kitandani haiwezi anakupa shombo tu!!! Atakuchukia mpaka siku anaenda kaburini.
Mwanaume mfedheheshe na matusi yote hatojali,ukitaka umuweze mwambie shughuli kitandani haiwezi anakupa shombo tu!!! Atakuchukia mpaka siku anaenda kaburini.
corasco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 3,664 Reaction score 3,394 Jun 23, 2017 #10 Mwanaume ni kiumbe pekee chenye kutaka kuchepuka lakin hakitaki kuchepukiwa...
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Jun 23, 2017 #11 john issa said: Wanawake ni watu pekee wanaonyoa nyusi na kuchora zao Click to expand...
enjai ya kyasha JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 3,097 Reaction score 3,654 Jun 23, 2017 #12 mwanamke kiumbe pekee anayeosha kila sehem ila akasahau papuchi na kuiacha inatema
Ndalilo JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 3,659 Reaction score 8,285 Jun 23, 2017 #13 Mwisho wake si mzuri huu uzi.... Wanaume....povu la kweli haliko mbali maana wasichana wana loose screw kichwani....
Mwisho wake si mzuri huu uzi.... Wanaume....povu la kweli haliko mbali maana wasichana wana loose screw kichwani....
Ruqaiyah JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 1,118 Reaction score 1,483 Jun 23, 2017 #14 john issa said: Wanawake ni watu pekee wanaonyoa nyusi na kuchora zao Click to expand... Wanaume hivi karibuni tutawavalisha madella sio kwa mipasho hii lol
john issa said: Wanawake ni watu pekee wanaonyoa nyusi na kuchora zao Click to expand... Wanaume hivi karibuni tutawavalisha madella sio kwa mipasho hii lol
Ruqaiyah JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 1,118 Reaction score 1,483 Jun 23, 2017 #15 john issa said: Wanawake ni watu pekee wanaonyoa nyusi na kuchora zao Click to expand... Wanaume hivi karibuni tutawavalisha madella sio kwa mipasho hii lol
john issa said: Wanawake ni watu pekee wanaonyoa nyusi na kuchora zao Click to expand... Wanaume hivi karibuni tutawavalisha madella sio kwa mipasho hii lol
swahiba Senior JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 2,478 Reaction score 3,630 Jun 23, 2017 #16 Nahisi huu Uzi ni mtego kwa wale wasioeleweka Jinsia zao humu kupitia Comments zao Lazima wajulikane,nimestuka
Nahisi huu Uzi ni mtego kwa wale wasioeleweka Jinsia zao humu kupitia Comments zao Lazima wajulikane,nimestuka
Gyole JF-Expert Member Joined Sep 20, 2013 Posts 7,008 Reaction score 7,091 Jun 23, 2017 #17 Kwani kuna watu humu wana jinsia 2
Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,395 Reaction score 10,836 Jun 23, 2017 #18 najua matani ya wanawake wengi kwa mwanaume ni Kibamia.. in JF
Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,395 Reaction score 10,836 Jun 23, 2017 #19 Paprika said: Wanaume **** Click to expand... nakusemea kwa mamaa... nakusemea kwa mamaa... nakusemea kwa mamaa..
Paprika said: Wanaume **** Click to expand... nakusemea kwa mamaa... nakusemea kwa mamaa... nakusemea kwa mamaa..
goggles JF-Expert Member Joined Apr 1, 2017 Posts 2,415 Reaction score 2,358 Jun 23, 2017 #20 Wanawake wana masikio ambayo kwa njia 1 au nyingine waweza sema ni mapambo. Kwani wanatumia zaidi k kusikia.
Wanawake wana masikio ambayo kwa njia 1 au nyingine waweza sema ni mapambo. Kwani wanatumia zaidi k kusikia.