Matangazo ya vifo sio dili tena

kandamatope

JF-Expert Member
May 19, 2018
589
627
Tokea kuanza kwa huu ugonjwa wa covid 19 kuna baadhi ya social media naona zimejitolea kufanya kazi ya Mungu, wanatoa matangazo ya VIFO buree hii raha sana
Sio pale zamani familia mbaka ijipange watumwe watu waende Tbc au radio one kupeleka tangazo la kifo
Vile vile familia tunatoa pesa zetu za rambi rambi kugharamia tangazo la msiba
Siku hizi mambo ni tofauti sana
Ningewaomba wana jamvi wenzangu tuvipongeze hivi vyombo vya habari vya kujitolea kutoa matangazo bure ya misiba
Mm naanza na mange je ww mwenzangu unapata taarifa za misiba kupitia chombo kipi cha habari cha kujitolea? Ili sote kwa pamoja tuwapongeze na waendelee na moyo huo huo wa kutoa matangazo ya vifo buree.
jini.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom