Huwa wana ushirika ambao unatoa rambirambi kwa wafiwa wanachama na hata kusafirisha mwili wa marehemu. Sasa kama umefiwa njia ya kukonfirm kama kweli umefiwa unatoa tangazo la kifo kwenye vyombo vya habari. Halafu unapewa rambirambi. Vinginevyo ungekuta mtu anafiwa kila siku na anakula mshiko kiaina.
umoja na mshkamano na utaftj we2 wa mali ndy uliotuwezesha wachaga kuwa maaruf had we ku2faham xo kwa habr ya mtangazo ya vfo 2natangaza il kudumsha umoja weä katka kvsaidiana na kwenx rida na raha
Mazoea tuu..
Suala hapo ni kwamba kila radio.ina maeneo.ambapo husikilizwa zaidi na Radio One ni maarufu zaidi.ukanda huo wa Kaskazini. RFA ni.maarufu na inasikilizwa.zaidi Kanda ya Ziwa na maeneo ya magharibi mwa Tanzania.
wagalatia siku zote hamna akili, hivi ni nani aliyewaloga?wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza mara nyingi nikipata wasaa wakusikiliza radio one hasa mida ya mchana, kwenye matangazo ya vifo kinachonishangaza ni kwamba majina na watu niwasikiao wamekufa ni wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha tu. Tena hasahasa kilimanjaro.
Sio kwamba lazima wawe wanaishi huko bali hata kama wanaishi mikoa mingineyo. mathalani jana nikiwa kwenye daladala mwanzo hadi mwisho wa matangazo hayo ni watu wa jamii ya huko.
Maswali:
1. Watu wa kanda nyingine hubaguliwa wakipeleka matangazo yao?
2. kuna gharama nafuu/priorities kwa jamii ya huko?
My take:
Si kuleta mgawanyiko, matusi au kebehi. Tujadili kwa amani na kuelimishana.
Nawasilisha.
wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza mara nyingi nikipata wasaa wakusikiliza radio one hasa mida ya mchana, kwenye matangazo ya vifo kinachonishangaza ni kwamba majina na watu niwasikiao wamekufa ni wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha tu. Tena hasahasa kilimanjaro.