Matangazo ya pombe yananikera

Matangazo ya pombe yananikera

mollel arusha

Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
19
Reaction score
8
Matangazo ya pombe yanayotangazwa kila mahali kupitia runinga, internet, magazeti, face book, jamii forum, radio, n.k yamekuwa kero kwangu. hii inaonyesha wazi jinsi gani taifa linahamasishwa kuwa walevi. ni ukweli kwamba ulevi unaenda sambamba na vitendo viovu kama vile: uasherati, uzinzi, wizi n.k kiasi kwamba ndiyo chanzo cha magonjwa ya zinaa. serikali inatumia a lot of money kuwatibu, na wakati mwingine kutumia gharama kubwa sana kuweka matangazo ya kujikinga. kwangu mimi naona serikali inajimaliza yenyewe kwa kuruhusu matangazo ya aina hiyo kila mahali na hapo hapo inatuumia pesa za watanzania kwa matumizi yasiyo ya lazima. pombe ina madhara makubwa sana kama vile ajali tunazoona za barabarani nyingi zinatokana na pombe. waendesha bodaboda wengi ni wanywaji wa pombe na ndiyo wanao maliza watu kwa sababu ya ulevi wa pombe. hivyo ninacho washauri watanzania tumieni hizo fursa kwa matangazo ya maendeleo na kuhamasisha maendeleo na zaidi sana watu wamrudie Mungu na kumpokea Bwana Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yao. Mungu awabariki sana.
 
kwa udhamini wa pombe umeweza kufungua JF na kutoa mawazo yako. mkuu hayo matangazo yanalipiwa
 
Mtoa mada umenikumbusha hadithi ya CHICHIDODO kwakifupi mkuu inchini kwetu tz pombe nimiongoni mwa vyanzo vikubwa vya mapato ya inchi na inatoa ajira tasmi na ile isiyokua rasmi zaidi hata ya madini yote unayojua yanachibwa inchini kwahio tuombe watz wasiache pombe maana inchi itakufa
 
Matangazo ya pombe yanayotangazwa kila mahali kupitia runinga, internet, magazeti, face book, jamii forum, radio, n.k yamekuwa kero kwangu. hii inaonyesha wazi jinsi gani taifa linahamasishwa kuwa walevi. ni ukweli kwamba ulevi unaenda sambamba na vitendo viovu kama vile: uasherati, uzinzi, wizi n.k kiasi kwamba ndiyo chanzo cha magonjwa ya zinaa. serikali inatumia a lot of money kuwatibu, na wakati mwingine kutumia gharama kubwa sana kuweka matangazo ya kujikinga. kwangu mimi naona serikali inajimaliza yenyewe kwa kuruhusu matangazo ya aina hiyo kila mahali na hapo hapo inatuumia pesa za watanzania kwa matumizi yasiyo ya lazima. pombe ina madhara makubwa sana kama vile ajali tunazoona za barabarani nyingi zinatokana na pombe. waendesha bodaboda wengi ni wanywaji wa pombe na ndiyo wanao maliza watu kwa sababu ya ulevi wa pombe. hivyo ninacho washauri watanzania tumieni hizo fursa kwa matangazo ya maendeleo na kuhamasisha maendeleo na zaidi sana watu wamrudie Mungu na kumpokea Bwana Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yao. Mungu awabariki sana.

Hili tamko hata ungelitolea kanisani ungechekwa halijakaa vizuri, kwa mfano:-

1. Unahusisha matangazo ya pombe na ulevi, hivi havina uhusiano kabisa kwasababu Gongo na bangi havitangazwi lakini kuna watu wanavitumia kulewa.

2. Unadai Serikali inatumia pesa nyingi kutibu watu wanaopata madhara kutokana na maradhi yanayohusishwa na Pombe lakini, inaonyesha hujui Serikali inapata wapi pesa zake. Na hata serikali ikipiga marufuku kutangaza pombe bado itaendelea kutibu maradhi ya pombe zisizotangazwa, unaijua Pombe inayoitwa Kitai? hii pombe haitangazwi ila inanywewa kwa kificho kijijini kwetu, na ukiikosea kidogo kuinywa unakufa.

3. Unasema kwa kuacha matangazo ya pombe ni kuhimiza watu kutumia pesa kwa vitu visivyo vya lazima, lakini umesahau ulazima wa bidhaa unatofautiana sana, wakati wewe unaona maziwa ni kitu cha msingi sana, kwangu mimi napenda sana Store yangu ikiwa na Maziwa na Pombe za kutosha, wakati wewe unaona kwenda kanisani ni kitu cha msingi sana, wenzio kwenda bar na club ni kitu cha msingi zaidi. Kwa ufupi unapoandika thread kama hii ujipange umenikwaza sana kuzisema vibaya pombe mbele yangu hasa ukichukulia kesho ni Ijumaa.
 
Tatizo mnasali vichochoroni leo Kanisa kesho Benki,

Huwezi jua kama pombe ni sehemu ya Ibada.
Kumbe ina maana wewe huwa unapita na kukaguwa yako mangapi? Unayaaangalia?
Nakushauri jipofushe macho usiyaone tena! Jitoboe masikio usisikie tena, Matangazo ya pombe.

Nyama we!
 
Hili tamko hata ungelitolea kanisani ungechekwa halijakaa vizuri, kwa mfano:-

1. Unahusisha matangazo ya pombe na ulevi, hivi havina uhusiano kabisa kwasababu Gongo na bangi havitangazwi lakini kuna watu wanavitumia kulewa.

2. Unadai Serikali inatumia pesa nyingi kutibu watu wanaopata madhara kutokana na maradhi yanayohusishwa na Pombe lakini, inaonyesha hujui Serikali inapata wapi pesa zake. Na hata serikali ikipiga marufuku kutangaza pombe bado itaendelea kutibu maradhi ya pombe zisizotangazwa, unaijua Pombe inayoitwa Kitai? hii pombe haitangazwi ila inanywewa kwa kificho kijijini kwetu, na ukiikosea kidogo kuinywa unakufa.

3. Unasema kwa kuacha matangazo ya pombe ni kuhimiza watu kutumia pesa kwa vitu visivyo vya lazima, lakini umesahau ulazima wa bidhaa unatofautiana sana, wakati wewe unaona maziwa ni kitu cha msingi sana, kwangu mimi napenda sana Store yangu ikiwa na Maziwa na Pombe za kutosha, wakati wewe unaona kwenda kanisani ni kitu cha msingi sana, wenzio kwenda bar na club ni kitu cha msingi zaidi. Kwa ufupi unapoandika thread kama hii ujipange umenikwaza sana kuzisema vibaya pombe mbele yangu hasa ukichukulia kesho ni Ijumaa.

Nailaiki weeee hailakiki, ngoja nitandike maandishi yaingie kwa hansard!
 
Matangazo ya pombe yanayotangazwa kila mahali kupitia runinga, internet, magazeti, face book, jamii forum, radio, n.k yamekuwa kero kwangu. hii inaonyesha wazi jinsi gani taifa linahamasishwa kuwa walevi. ni ukweli kwamba ulevi unaenda sambamba na vitendo viovu kama vile: uasherati, uzinzi, wizi n.k kiasi kwamba ndiyo chanzo cha magonjwa ya zinaa. serikali inatumia a lot of money kuwatibu, na wakati mwingine kutumia gharama kubwa sana kuweka matangazo ya kujikinga. kwangu mimi naona serikali inajimaliza yenyewe kwa kuruhusu matangazo ya aina hiyo kila mahali na hapo hapo inatuumia pesa za watanzania kwa matumizi yasiyo ya lazima. pombe ina madhara makubwa sana kama vile ajali tunazoona za barabarani nyingi zinatokana na pombe. waendesha bodaboda wengi ni wanywaji wa pombe na ndiyo wanao maliza watu kwa sababu ya ulevi wa pombe. hivyo ninacho washauri watanzania tumieni hizo fursa kwa matangazo ya maendeleo na kuhamasisha maendeleo na zaidi sana watu wamrudie Mungu na kumpokea Bwana Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yao. Mungu awabariki sana.

Yesu mwenyewe alisindika pombe watu wakabarizi wakapumzika wakamrudia MUNGU afu we uanaleta bangi zako hapa!

Huyo mzee wa upako atawachoma moto nyie shauri yenu!
 
kwa udhamini wa pombe umeweza kufungua JF na kutoa mawazo yako. mkuu hayo matangazo yanalipiwa

Hili la JF la Safari Lager linakera..yaani lazima uliclose ndo uweze kuendelea kuperuzi..kwa lisiwe kama mengine yaliyo pembeni au kwa juu!?
 
Huko kwetu cjawahi kusikia wala kuona tangazo la Gongo. Lakini wee ! Hayo matangazo ni sababu ya ushindani wa wao kwa wao katika kupata soko. Just take this, "Drink Responsibly".
 
Hili la JF la Safari Lager linakera..yaani lazima uliclose ndo uweze kuendelea kuperuzi..kwa lisiwe kama mengine yaliyo pembeni au kwa juu!?

................bahati nzuri kwenye simu ule mchupa hauji !
 
wapi tusjer baridiiii, njoo uone huku wanavyosema, ebu watajie maeneo ya baa yalivyo mengi, siku hizi utakuta grosary ndogo ila mcheki muhudumu.
 
Hili tamko hata ungelitolea kanisani ungechekwa halijakaa vizuri, kwa mfano:-

1. Unahusisha matangazo ya pombe na ulevi, hivi havina uhusiano kabisa kwasababu Gongo na bangi havitangazwi lakini kuna watu wanavitumia kulewa.

2. Unadai Serikali inatumia pesa nyingi kutibu watu wanaopata madhara kutokana na maradhi yanayohusishwa na Pombe lakini, inaonyesha hujui Serikali inapata wapi pesa zake. Na hata serikali ikipiga marufuku kutangaza pombe bado itaendelea kutibu maradhi ya pombe zisizotangazwa, unaijua Pombe inayoitwa Kitai? hii pombe haitangazwi ila inanywewa kwa kificho kijijini kwetu, na ukiikosea kidogo kuinywa unakufa.

3. Unasema kwa kuacha matangazo ya pombe ni kuhimiza watu kutumia pesa kwa vitu visivyo vya lazima, lakini umesahau ulazima wa bidhaa unatofautiana sana, wakati wewe unaona maziwa ni kitu cha msingi sana, kwangu mimi napenda sana Store yangu ikiwa na Maziwa na Pombe za kutosha, wakati wewe unaona kwenda kanisani ni kitu cha msingi sana, wenzio kwenda bar na club ni kitu cha msingi zaidi. Kwa ufupi unapoandika thread kama hii ujipange umenikwaza sana kuzisema vibaya pombe mbele yangu hasa ukichukulia kesho ni Ijumaa.
Mkuu umenikuna. Kwa kumuongezea tu mleta uzi ni kuwa ana habari kuwa MAPADRI na MASISTA wanakunywa pombe? Wakimsikia anaiponda pombe hawatamwelewa
 
Matangazo ya pombe yanayotangazwa kila mahali kupitia runinga, internet, magazeti, face book, jamii forum, radio, n.k yamekuwa kero kwangu. hii inaonyesha wazi jinsi gani taifa linahamasishwa kuwa walevi. ni ukweli kwamba ulevi unaenda sambamba na vitendo viovu kama vile: uasherati, uzinzi, wizi n.k kiasi kwamba ndiyo chanzo cha magonjwa ya zinaa. serikali inatumia a lot of money kuwatibu, na wakati mwingine kutumia gharama kubwa sana kuweka matangazo ya kujikinga. kwangu mimi naona serikali inajimaliza yenyewe kwa kuruhusu matangazo ya aina hiyo kila mahali na hapo hapo inatuumia pesa za watanzania kwa matumizi yasiyo ya lazima. pombe ina madhara makubwa sana kama vile ajali tunazoona za barabarani nyingi zinatokana na pombe. waendesha bodaboda wengi ni wanywaji wa pombe na ndiyo wanao maliza watu kwa sababu ya ulevi wa pombe. hivyo ninacho washauri watanzania tumieni hizo fursa kwa matangazo ya maendeleo na kuhamasisha maendeleo na zaidi sana watu wamrudie Mungu na kumpokea Bwana Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yao. Mungu awabariki sana.

Acha siasa kali , mujahidina. Maovu yote yanatokea kwenye pombe. Angalia waliobeba mimba nje ya ndoa, hasa wenzetu kama wewe msiokunywa pombe, mbona mlizini! Wala unga wa Zanzibar ambapo pombe ni hotel za kitalii tu!!!!!. Tanga ni ya pili kwa madawa ya kulevya kwa vijana, na huku hawa hawanywi pombe. Naishia hapa. SAMAHANI SINA NIA YA KUMSHUTUMU YEYOTE
 
Back
Top Bottom