Matangazo ya pombe yananikera

Matangazo ya pombe yananikera

Ivi kumbe ukipata ajali au ukiathirika na pombe unatibiwa na serikali?
Ni wapi huko aisee nduku moleli?
Pili je, Chanzo pekee cha maovu ni pombe?

Vipi hawa wachungaji wanaobaka na kuzaa na mahausigeli ilihali hawanywi?


Tatu ungalijuwa mchango wa pombe kwenye barabara unazosafiria na mishahara ya wanaokuhudumia
usingaliisema vibaya kiasi hiki.
Tatizo mnaanzisha ugomvi halafu mnaingia mitini njoo ujibu hoja zetu mollel arusha.
 
konyagi the spirit of the nation......kinywaji laini na cha kipekee.....ngoja na mimi niitangaze hiyo lol
 
Watu wengi wanalalamika pombe inasababisha vifo ila wanashindwa kuangalia rate ya watu wanaokufa kwa ajil ya pombe na wanaozaliwa kutokana na pombe!
 
Back
Top Bottom