Ofkoz,,,cv si lazima kazi,,,inaweza ikawa cv ya kujituma 6x6 mdau
Nimeona tangazo la uchumba pahala likanistaajabisha.
Mambo yaliyonishangaza kwenye tangazo lile ni sehemu ya mahari na hitaji la CV.
Nanukuu "...mahari ndogo itaangaliwa...CV nzuri itakufanya uwe mke wangu...".
Jamani CV ni ya kazi gani hapa? Inamaana siku hizi kila kitu uzoefu?
Ndugu zangu ni wapi upendo wa kweli ulipo? ...nadhani upendo wa kweli hauangalii vitu.
kumaanisha kutakuwa na interview ya 6x6 au??? Duh!
Heri yenu ambao bado mnatafuta wake/waume.
mh,makubwa!
Heri yenu ambao bado mnatafuta wake/waume.