Matangazo kwenye mitandaoni yamezidi

Matangazo kwenye mitandaoni yamezidi

RASHIDI OMARY

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
524
Reaction score
501
Huwa nakerwa sana na matangazo kibao nikifungua Internet kwenye simu yangu, MB zangu zinakwenda bure kwenye haya matangazo ambayo kwangu mimi hayanisaidii chochote.

Wananzengo wajuzi nipeni njia ya kuyaondoa haya matangazo yanaboa mno.
 
Ukiwasha tu data yanakuja ama mpaka ufungue apps? Yanakuja kama notification? Unatumia simu gani?
 
Chief mkwawa mimi nikifungua tu google chrome ili niingie jf matangazo kama yote hasa napata kutoka site ya inmbo. Dah nakereka saana
 
Adaway
Screenshot_2023-07-28-23-17-13-799_org.adaway.jpg
 
Chief mkwawa mimi nikifungua tu google chrome ili niingie jf matangazo kama yote hasa napata kutoka site ya inmbo. Dah nakereka saana
So matangazo yapo chrome tu? Shortcut itoe chrome irudishe.

Ama nenda setting ya Chrome kisha privacy and security kisha notification zitoe hizo website zinazoweka matangazo.
 
Huwa nakerwa sana na matangazo kibao nikifungua Internet kwenye simu yangu, MB zangu zinakwenda bure kwenye haya matangazo ambayo kwangu mimi hayanisaidii chochote.

Wananzengo wajuzi nipeni njia ya kuyaondoa haya matangazo yanaboa mno.

Ni namna ulivyo set account yako ya google ila umaweza kuzuia hayo matangazo. sema cwz kukuelekeza maybe ingekuwa nakuelekeza kwenye simu.

Ila unaweza kuingia youtube uangalie jinsi unavyoweza kuzuia matangazo ya google
 
angalia youtube jinsi ya kuzuia pop-up ads
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom