Matangazo Kanisa katoliki Parokia ya Sinza

Matangazo Kanisa katoliki Parokia ya Sinza

Sasa sisi wa tandahimba habari hii ya sinza,tena kanisani inatuhusu nini ??... ulifkiria kwanza kabla ya kuweka post ?
 
Kwa namna jf tunavyochangia mada,mkristo mkatoliki kuileta hii !!!,labda hana ujasiri wa kuwaambia viongozi sinza
 
sina hakika kama hapa ni sehemu sahiihi pakulileta hili ofisi za kanisa zipo peleka huko
 
mkuu lutheran hata mahubiri marefu watu walikuwa ikifika saa sita tu wanaondoka tena bila kutoa sadaka..ndo maana wakabadilisha utaratibu siku hizi sadaka kwanza mahubiri yanafuata
 
mods wamelala usingizi.....toa hii na huyu akaweke kwenye suggestion box ya kanisa au aache unafiki awachane live ibadani
 
Tumuogope mungu kiberaaaaaa...!! Jaman hapatikane wa kumaliz hp
 
Mkuu Kama vipi unasalia nyumbani tu.. Mungu anasikiliza salary popote pale
 
Jamani kwa hshima na taadhima, naomba kuwasihi viongozi wa kanisa katoliki Parokia ya Sinza, wapunguze matangazo. Matangazo mara baada ya ibada hasa za jumapili ni marefu mnoooo, Wazungumzaji kibao na matangazo ni yale yale, kila mzungumzaji anayatoa kwa ufundi wake. Kila kitu kifanyike kwa kiasi. Ubao wa matangazo utumike, watangazaji wajipange, mtu mmoja abebe hoja zote muhimu badala ya kila kiongozi kwenda mbele kusema lake. Matangazo ya miezi mingi ijayo yasubiri muda wake au yaanzie ngazi ya jumuia badala ya ibada kuwa kama mkutano.

Kwanini haya usiyaseme huko huko kanisani kwenye vikao?
 
Hebu subiri kwanza,je umeuona uongozi wa parokia(baraza la walei) kuwafahimisha hiyo kero? Mbona hii issue ndogo sana kama ungefuata taratibu za kanisa katoliki sinza?

Anachosema mdau hapo juu ni kweli kabisa matangazo pale sinza yamezid tena basi watu wanarudia rudia kilichosemwa na mzungumzaji aliyepita....nilifikir ni mie tu niliyekereka na ile hali kumbe tupo wengi....
Mie nimehama sisali pale kabisa badala yake nasali chuo kwa kina msinyori Mbiku...
 
Jamani kwa hshima na taadhima, naomba kuwasihi viongozi wa kanisa katoliki Parokia ya Sinza, wapunguze matangazo. Matangazo mara baada ya ibada hasa za jumapili ni marefu mnoooo, Wazungumzaji kibao na matangazo ni yale yale, kila mzungumzaji anayatoa kwa ufundi wake. Kila kitu kifanyike kwa kiasi. Ubao wa matangazo utumike, watangazaji wajipange, mtu mmoja abebe hoja zote muhimu badala ya kila kiongozi kwenda mbele kusema lake. Matangazo ya miezi mingi ijayo yasubiri muda wake au yaanzie ngazi ya jumuia badala ya ibada kuwa kama mkutano.

Parokia nyingi mtindo ndio huo huo hadi watu wengine hutoka kabla ya misa kwisha
 
Hiki ni KIBURI CHA UZIMA, wewe kama unaona matangazo yanakukera acha kabisa kwenda kanisani. Kwani wanaotoa hayo matangazo ni wehu kwamba wanarudia rudia tu kitu ambacho hakina maana? Unaweza kukuta hicho wanachorudia ni kitu kinachotakiwa kutekelezwa haraka iwezekanavyo, kwaiyo wanafanya hivyo ku-emphasize.
 
Back
Top Bottom