Matangazo Kanisa katoliki Parokia ya Sinza

MTWALE JR

New Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
2
Reaction score
4
Jamani kwa heshima na taadhima, naomba kuwasihi viongozi wa kanisa Katoliki Parokia ya Sinza, wapunguze matangazo. Matangazo mara baada ya ibada hasa za jumapili ni marefu mnoooo, Wazungumzaji kibao na matangazo ni yale yale, kila mzungumzaji anayatoa kwa ufundi wake.

Kila kitu kifanyike kwa kiasi. Ubao wa matangazo utumike, watangazaji wajipange, mtu mmoja abebe hoja zote muhimu badala ya kila kiongozi kwenda mbele kusema lake.

Matangazo ya miezi mingi ijayo yasubiri muda wake au yaanzie ngazi ya jumuia badala ya ibada kuwa kama mkutano.
 
Jamani kwa hshima na taadhima, naomba kuwasihi viongozi wa kanisa katoliki Parokia ya Sinza, wapunguze matangazo. Matangazo mara baada ya ibada hasa za jumapili ni marefu mnoooo, Wazungumzaji kibao na matangazo ni yale yale, kila mzungumzaji anayatoa kwa ufundi wake. Kila kitu kifanyike kwa kiasi. Ubao wa matangazo utumike, watangazaji wajipange, mtu mmoja abebe hoja zote muhimu badala ya kila kiongozi kwenda mbele kusema lake. Matangazo ya miezi mingi ijayo yasubiri muda wake au yaanzie ngazi ya jumuia badala ya ibada kuwa kama mkutano.

Nendeni lutheran mkachukue uzoefu.
 
Makanisa mengi ya katoliki wanafanya hivyo. Muda wa matangazo unakuwa sawa na nusu ya muda wa misa nzima.
Mkimaliza kuchangia nitaiforward kwa Baba Mtakatifu
 
Jamani kwa hshima na taadhima, naomba kuwasihi viongozi wa kanisa katoliki Parokia ya Sinza, wapunguze matangazo. Matangazo mara baada ya ibada hasa za jumapili ni marefu mnoooo, Wazungumzaji kibao na matangazo ni yale yale, kila mzungumzaji anayatoa kwa ufundi wake. Kila kitu kifanyike kwa kiasi. Ubao wa matangazo utumike, watangazaji wajipange, mtu mmoja abebe hoja zote muhimu badala ya kila kiongozi kwenda mbele kusema lake. Matangazo ya miezi mingi ijayo yasubiri muda wake au yaanzie ngazi ya jumuia badala ya ibada kuwa kama mkutano.

Hebu subiri kwanza,je umeuona uongozi wa parokia(baraza la walei) kuwafahimisha hiyo kero? Mbona hii issue ndogo sana kama ungefuata taratibu za kanisa katoliki sinza?
 
Si watoe matangazo baada ya baraka waone atakayebaki!
 
Hii nayo ni habari ya siasa?Haya ndo matumizi mabaya.Mambo ya dini huku wapi na wapi.
 
Jamani kwa hshima na taadhima, naomba kuwasihi viongozi wa kanisa katoliki Parokia ya Sinza, wapunguze matangazo. Matangazo mara baada ya ibada hasa za jumapili ni marefu mnoooo, Wazungumzaji kibao na matangazo ni yale yale, kila mzungumzaji anayatoa kwa ufundi wake. Kila kitu kifanyike kwa kiasi. Ubao wa matangazo utumike, watangazaji wajipange, mtu mmoja abebe hoja zote muhimu badala ya kila kiongozi kwenda mbele kusema lake. Matangazo ya miezi mingi ijayo yasubiri muda wake au yaanzie ngazi ya jumuia badala ya ibada kuwa kama mkutano.
Ongea na viongozi wako wa parokia.
 
Anza kwa kutoa malalamiko yako kwenye jumuia yako, kisha fuatilia hatua kwa hatua
 
Umesema vema mleta hoja. Askofu Nzigirwa, badala ya kufakamia mahela ya Rugemalila Tafadhali changamkia mambo kama Haya. Matangazo ni kama mkutano! Mnatuharibia uchaji wa misa.
 
Kilichokupeleka kanisani ni nini? Usiende sikiliza radio Maria au Tumaini. Hakuna matangazo.
 
Jamani kwa hshima na taadhima, naomba kuwasihi viongozi wa kanisa katoliki Parokia ya Sinza, wapunguze matangazo. Matangazo mara baada ya ibada hasa za jumapili ni marefu mnoooo, Wazungumzaji kibao na matangazo ni yale yale, kila mzungumzaji anayatoa kwa ufundi wake. Kila kitu kifanyike kwa kiasi. Ubao wa matangazo utumike, watangazaji wajipange, mtu mmoja abebe hoja zote muhimu badala ya kila kiongozi kwenda mbele kusema lake. Matangazo ya miezi mingi ijayo yasubiri muda wake au yaanzie ngazi ya jumuia badala ya ibada kuwa kama mkutano.

Hii habar nahc si mahari pake hapa, harafu mkuu kama kila mtu atakuja na hoja na kero za kanisa lake tutapoteza maana ya jukwaa...

Anyway asant bt c mahar pake hapa mods ondoa hii kitu hapa
 
Taaratibu naona heshima ya jukwaa hili linaanza kufifia na kutoweka Mtu anawezaje kuweka uzi huu katika jukwaa la siasa? hali akijua kuwa hili jukwaa linachukua mambo yenye mtizamo wa kitaifa ? mtu atawezaje kuuweka uzi humu unaohusu parokia huku akijua wengi humu hawajaridhishwa kwa baadhi ya mambo katika parokia, mitaa,vigango, jumuia,sharika na hata misikitini kwao lakini hawajatumia hili jukwaa kueleza hayo kwa vile busara na hekima zao zimewashawishi kuwa sehemu hii si sehemu sahihi kwa kujadili suala lao. Tukumbuke hili si jukwaa la wakatoliki bali ni jukwaa la watu wa dini zote na wasio na dini wakijadili mambo ya kisiasa WITO. tukitumia masuala ya kibinafsi kama ya mleta uzi na parokia tukamruhusu, ipo siku ataleta masuala yake binafsi dhidi ya jumuia yake, na tutawaruhusu wengine watotoe dhidi ya misikiti yao, Hivyo upo wajibu kwa jamii forum kuangali na kulinda ipasavyo heshima na umaarufu wa jukwaa. kwa mtoa uzi inaonekana kwa kipimo kidogo huna imani stahili kwani parokia nyingi za Dar Es Salaam misa nyingi huchukua sio zaidi ya masaa mawili, sasa kama mtu unashindwa kukaa kanisani kwa mda huo bora usiende kanisani kama unaona kukaa kanisani ukwazika ? siku zote matangazo kanisani huwahusu waamini husika na kwa manufaa ya kanisa lote sasa unasema wabandike ukutani hivi ni waamini wangapi watasweza kusoma huku akiangalia uwingi wa watu kwa siku hizo ? pia una uhakika gani kama waamini wote wanajua kusoma na kuandika ?
 
Back
Top Bottom