Qunax Senior Member Oct 16, 2016 100 127 Dec 21, 2016 #1 Kila week kulikuwa na tamko jipya katiza wizara flan naona ugonjwa wa zika kidogo umetuliza upepo.Anaogopa kupata Zika
Kila week kulikuwa na tamko jipya katiza wizara flan naona ugonjwa wa zika kidogo umetuliza upepo.Anaogopa kupata Zika
Askari Muoga JF-Expert Member Oct 22, 2015 6,113 4,652 Dec 21, 2016 #3 Ndalichako naye kimya wanajipanga mwakani wakimaliza yote mwakani awatakuwa na jipya
Mavipunda JF-Expert Member Jun 27, 2012 6,916 7,522 Dec 21, 2016 #4 Hofu ya kwenda x-mas na barua imewatuliza kidogo.. ila kiboko yao walikuwa Ndugu Ka-telephone na Le Profesee Ndalii changu yaani siku kupita bila ya tamko nadhani midomo yao ilikuwa ikiwasha
Hofu ya kwenda x-mas na barua imewatuliza kidogo.. ila kiboko yao walikuwa Ndugu Ka-telephone na Le Profesee Ndalii changu yaani siku kupita bila ya tamko nadhani midomo yao ilikuwa ikiwasha
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,707 71,003 Dec 21, 2016 #5 Labda wamejua kuwa tumewadharau
tweenty4seven JF-Expert Member Sep 21, 2013 15,672 19,187 Dec 21, 2016 #8 Faru john ndio kiki ya kufungia mwaka