Tetesi: MATAMKO YAMEPUNGUA

Qunax

Senior Member
Oct 16, 2016
102
250
Kila week kulikuwa na tamko jipya katiza wizara flan naona ugonjwa wa zika kidogo umetuliza upepo.Anaogopa kupata Zika
 

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,130
2,000
Ndalichako naye kimya wanajipanga mwakani wakimaliza yote mwakani awatakuwa na jipya
 

Mavipunda

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
5,979
2,000
Hofu ya kwenda x-mas na barua imewatuliza kidogo.. ila kiboko yao walikuwa Ndugu Ka-telephone na Le Profesee Ndalii changu yaani siku kupita bila ya tamko nadhani midomo yao ilikuwa ikiwasha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom