matamko ya mashehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA Tabora: Wahadhiri wa Kiislamu wasitoe tena matamko. Maelekezo yatahusu ofisi ya BAKWATA

    Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Tabora limepiga marufuku wahubiri na wahadhiri wa kiislamu kutoa matamko yanayoweza kuzua taharuki kufuatia vurugu zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29. Akizungumza wakati wa sherehe za Watoto waliohitimu mafunzo ya Quran Mkoani...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Shura ya Maimamu: Maaskofu wa TEC wanaomba watu kutoka nje ya nchi waje kufanya uchuguzi, wakati waliwahi kututawala na kutunyonya

    Shura ya Maimamu na Viongozi wa taasisi za Kiislamu Mkoani Arusha imetoa tamko la kulaani machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, na kutaka hatua madhubuti zichukuliwe ili kurejesha na kulinda amani ya nchi. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Arusha, mlezi wa Shura hiyo, Sheikh Juma...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Matamko ya Masheikh yanaweza kukwambia yafuatayo

    1. Wauwaji walijua wanaua waumini wa Katoliki na wa Askofu Gwajima. Sheikh anasema kwa nukuu isiyo rasmi "wameona vijana wa kiislam Waliokufa si wengi hivyo wanataka tarehe 09Dec na vijana wa kiislam nao wawe wengi.... Kumbuka wauaji ni kutoka Zanzibar yenye wananchi 99% waislam 2. Serikali...
Back
Top Bottom