Inkotanyi 94
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,244
- 4,030
Kila zama na kitabu chake..by Ali Hassan Mwinyi
Tuangazie namna Tanzania yetu tungetaka iwe leo zama hizi.
Ndoto zangu na zako mdau tuziunganishe.
Hata Traore alianza na ndoto.
Mabadiriko hayajawai kuletwa na lundo la watu kwa mkupuo bali watu wachache sana wenye nia njema.
1. Iwe nchi moja, Tanzania kama jina lake lilivyo. (Nchi moja, Serikali moja, Bunge moja, Mahakama moja) isiyofungamana na upande wowote.
2. Vyama vyote vya siasa kufutwa kwa muda ili kujenga jamii inayojua matumizi sahihi ya demokrasia yenye tija kwa maendeleo endelevu.
(Kwa sasa demokrasia inatumika kama silaha dhidi ya wapiga kura na si mbinu ya kusimamiana)
Kumbuka mjadala wa ..demokrasia ni universal au customised haujawai kupata muafaka!
Kipindi cha mpito kinakuwa na Rais akisaidiwa na Baraza la wataalam kiuongozi na wataalam katika sekta za utumishi.
Mali zote za vyama zinarudi serikalini.
Usajiri mpya wa vyama utazingatia ukomo wa idadi ya vyama (chini ya 4) na uwepo wa mgombea binafsi.
3. Serikali Kuu kuwa ndogo sana na kuimarisha uongozi na utawala serikali za chini ikilenga hasa kubana matumizi na ufanisi.
4. Wilaya moja, mbunge mmoja.
Maslahi ya mbunge kukadiriwa na watu wanaomtuma.
5.Kudhibiti udahiri katika fani na 80% waelekezwe ufundi na Teknolojia.
6. Kudhibiti kasi ya uzaaji iwe kwa ushauri, dawa za asili au kifamasia.
7. Kila raia kuwa mwanajeshi na wachache tu wasimamie ofisi na kambi.
Wengi wawe katika fani za kitaasisi katika ofis za umma.
Waitwe wanapohitajika.
8. Kupeleka raia wengi nje warudishe maarifa na ujuzi.
9. Kubadirisha miundombinu ya usafiri toka mabasi na kuwa treni kasi nchi nzima kuishia border kubwa zote.
10. Trekta kila kijiji. Unalipia mafuta na posho ya dreva tu.
11. Kuzuia bidhaa zote toka nje tunazoweza kujitengenezea nchini.
12. Kuimarisha adhabu ya kifo na ufilisi kwa anayekula pesa ya umma kwa kiwango flan.
13. Kuruhusu watz walioenda nje kutafuta maisha kuendelea na uraia wa nchini hata wakichukua mwingine huko lakin udhibiti ni kwa anayetoka nje kuwa mtz aukane wa anakotokea.
14. .........