Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,728
- 10,128
....Taifa haliwezi songa mbele likiwa na wawaza ngono saa zote..kwa wenzentu maumbile ya mwili hayana cha maana...utakubaliana nami wasichana wasio na makuuu/maringo ya hayou uloyataja hapo huwa wanafanikiwa sanaaaaaa hawababaishwi na mwanaume..