mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
Kumeibuka baadhi ya matajiri wanaoiunga CHADEMA ni wale ambao ni mafisadi hapa nchini.
Ufisadi wao ni kukwepa kulipa kodi ni wale wenye maroli makubwa wenye kuzidisha mizigo wawe frii kwenye mizani na kutaka kuharibu barabara zetu na kujinufaisha kwa kipato kikubwa.
Kwa watu wenye uelewa mada hii hawataipinga iweje waibuke wakati huu wa lowasa kwanini siku za nyuma hawakufanya hivyo? kama alivyokuwa anavyofanya mzee sabodo.