Matajiri wa kitanzania mumeona mjengo wa Dkt. Mengi

Waindi wanaokumbatiwa na ccm wangekuwa wanafanya hivi bongo tungekuwa mbali sana! Mengi ameacha mengi ya kujifunza!
 
Habarini wana jamvi

Naomba kuungana na waombolezaji wale waliofika machame na kuanza kwanza kushangaa mjengo wa marehemu kabla ya kitu chochote...

Matajiri wa kitanzania jifunzeni, sio kila mtu unakomalia kuishi mbezi beach au masaki lakini kajumba kamejibana kama kibanda cha vocha hili mradi uonekane umekaa mjini, oneni kufuru ya Dr hapo machame, mazingira tu mpaka unahisi kushiba....

Matajiri kujibana jifunzeni,

Please kama unahisi hata iweje hauwezi hata kuwa na dream kama hii husiangalie picha, utajiumiza bure

Pumzika kwa amani Dr.View attachment 1092195View attachment 1092196View attachment 1092198View attachment 1092199View attachment 1092200View attachment 1092201View attachment 1092202View attachment 1092203View attachment 1092204View attachment 1092205View attachment 1092206View attachment 1092207View attachment 1092208View attachment 1092209View attachment 1092210View attachment 1092211View attachment 1092212View attachment 1092213

Hii ndio tofauti ya mtu akisema najenga pango langu, na mtu anaesema najenga nyumba ya kuishi.......tutafute pesa jaman
Sipati picha yule dikteta wa kihutu anavyoitamani hii nyumba!
 
Miaka 75 Ni michache Sana kwa watu wenye uwezo .mwinyi ana 95 Hana hata mpango wa kufa ,mkapa ana 84 Yuko bize na kutafuta pesa.
ha ha ha ha ha ha ya mkapa nimecheka sana utakuta anafikiria kuanzisha mradi mpya da alafu mkapa nae kaweka kitu cha maana kule LUSHOTO siku ya msiba wake kama ataenda kuzikwa kule watu hawataamini
 
Yule ni mmakuwa anaweza kwenda kuzikwa masasi
ha ha ha ha ha ha ya mkapa nimecheka sana utakuta anafikiria kuanzisha mradi mpya da alafu mkapa nae kaweka kitu cha maana kule LUSHOTO siku ya msiba wake kama ataenda kuzikwa kule watu hawataamini
 
Kuna watu wanasifiwa ni matajiri huku mitaani, lakini wanaishi maisha magumu... weng wana utajiri wa magumashi, wanalala kwenye nyumba chakavu lakin wana hela
 
Habarini wana jamvi
Naomba kuungana na waombolezaji wale waliofika machame na kuanza kwanza kushangaa mjengo wa marehemu kabla ya kitu chochote...
Matajiri wa kitanzania jifunzeni, sio kila mtu unakomalia kuishi mbezi beach au masaki lakini kajumba kamejibana kama kibanda cha vocha hili mradi uonekane umekaa mjini, oneni kufuru ya Dr hapo machame, mazingira tu mpaka unahisi kushiba....
Matajiri kujibana jifunzeni,
Please kama unahisi hata iweje hauwezi hata kuwa na dream kama hii husiangalie picha, utajiumiza bure
Pumzika kwa amani Dr.View attachment 1092195View attachment 1092196View attachment 1092198View attachment 1092199View attachment 1092200View attachment 1092201View attachment 1092202View attachment 1092203View attachment 1092204View attachment 1092205View attachment 1092206View attachment 1092207View attachment 1092208View attachment 1092209View attachment 1092210View attachment 1092211View attachment 1092212View attachment 1092213
Hii ndio tofauti ya mtu akisema najenga pango langu, na mtu anaesema najenga nyumba ya kuishi.......tutafute pesa jaman
Alichokijenga kwa maisha yake na alipoishia kwa maisha yake ni tofauti kubwa sana na unapoishi, angeweza kuamka na kuona mjengo wako naamini naye angeutamani.
 
Back
Top Bottom