Matajiri wa kitanzania mumeona mjengo wa Dkt. Mengi

digalangosha

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
1,554
2,265
Habarini wana jamvi

Naomba kuungana na waombolezaji wale waliofika machame na kuanza kwanza kushangaa mjengo wa marehemu kabla ya kitu chochote...

Matajiri wa kitanzania jifunzeni, sio kila mtu unakomalia kuishi mbezi beach au masaki lakini kajumba kamejibana kama kibanda cha vocha hili mradi uonekane umekaa mjini, oneni kufuru ya Dr hapo machame, mazingira tu mpaka unahisi kushiba....

Matajiri kujibana jifunzeni,

Please kama unahisi hata iweje hauwezi hata kuwa na dream kama hii husiangalie picha, utajiumiza bure

Pumzika kwa amani Dr.
IMG-20190508-WA0087.jpeg
IMG-20190508-WA0086.jpeg
IMG-20190508-WA0115.jpeg
IMG-20190508-WA0117.jpeg
IMG-20190508-WA0118.jpeg
IMG-20190508-WA0119.jpeg
IMG-20190508-WA0120.jpeg
IMG-20190508-WA0123.jpeg
IMG-20190508-WA0121.jpeg
IMG-20190508-WA0127.jpeg
IMG-20190508-WA0128.jpeg
IMG-20190508-WA0129.jpeg
IMG-20190508-WA0130.jpeg
IMG-20190508-WA0131.jpeg
IMG-20190508-WA0133.jpeg
IMG-20190508-WA0134.jpeg
IMG-20190508-WA0135.jpeg
20190508_232059.jpeg

Hii ndio tofauti ya mtu akisema najenga pango langu, na mtu anaesema najenga nyumba ya kuishi.......tutafute pesa jaman
 
Aiseee!!! Ndio maana bashite na bwana yuleeeeee wanawachukia wachagaaaa
Habarini wana jamvi

Naomba kuungana na waombolezaji wale waliofika machame na kuanza kwanza kushangaa mjengo wa marehemu kabla ya kitu chochote...

Matajiri wa kitanzania jifunzeni, sio kila mtu unakomalia kuishi mbezi beach au masaki lakini kajumba kamejibana kama kibanda cha vocha hili mradi uonekane umekaa mjini, oneni kufuru ya Dr hapo machame, mazingira tu mpaka unahisi kushiba....

Matajiri kujibana jifunzeni,

Please kama unahisi hata iweje hauwezi hata kuwa na dream kama hii husiangalie picha, utajiumiza bure

Pumzika kwa amani Dr.View attachment 1092195View attachment 1092196View attachment 1092198View attachment 1092199View attachment 1092200View attachment 1092201View attachment 1092202View attachment 1092203View attachment 1092204View attachment 1092205View attachment 1092206View attachment 1092207View attachment 1092208View attachment 1092209View attachment 1092210View attachment 1092211View attachment 1092212View attachment 1092213
 
Mimi siwezi kuishi kwenye hilo lijumba nitakufa kwa mawazo..!!

Mwanjuma ndala ndefu ntamuona wapi
Kelele za bodabonda na ile alteza inaypitaga usiku ntazisikia wapi

Endrew akija kugonga dirishani mzee baba umefunga komeo kwa ndani fungua😂😂😂
 
Habarini wana jamvi

Naomba kuungana na waombolezaji wale waliofika machame na kuanza kwanza kushangaa mjengo wa marehemu kabla ya kitu chochote...

Matajiri wa kitanzania jifunzeni, sio kila mtu unakomalia kuishi mbezi beach au masaki lakini kajumba kamejibana kama kibanda cha vocha hili mradi uonekane umekaa mjini, oneni kufuru ya Dr hapo machame, mazingira tu mpaka unahisi kushiba....

Matajiri kujibana jifunzeni,

Please kama unahisi hata iweje hauwezi hata kuwa na dream kama hii husiangalie picha, utajiumiza bure

Pumzika kwa amani Dr.View attachment 1092195View attachment 1092196View attachment 1092198View attachment 1092199View attachment 1092200View attachment 1092201View attachment 1092202View attachment 1092203View attachment 1092204View attachment 1092205View attachment 1092206View attachment 1092207View attachment 1092208View attachment 1092209View attachment 1092210View attachment 1092211View attachment 1092212View attachment 1092213
Huu mjengo ni kama IKURU
 
Back
Top Bottom