Matajiri hawataki ujue hili

inategemeana na matumizi hayo ya smart phone,,wengine ni wafanyabiashara kama kuuza duka kwa hyo kuingia mitandaoni hakuwabani saana kuingia,,kama mimi hapa mteja hakija simu naiweka chini nikishamaliza kuhudumia fasta nipo jf,,
 
Pamoja na huo mgawanyo wa masaa kuna masaa 8 ya biashara, je biashara hiyo ni ipi kama huna pesa au mtaji? Ungeeleza namna gani mtu atapata mtaji Wa kuanzisha hiyo biashara ili atumie nayo masaa 8.
 
GOOD COMMENT, Utakuta yeye hana biashara wala ujasiriamali wowote.Angekuja na ushahidi wa picha nk ili kuwasaidia watu kuelewa kinachoongelewa. Kujiajiri sio hizi pororjo tu na kuacha kuingia socialmedia, kujiajiri ni zaidi sana ya hiki alichoongea.
 
Chochote unachofundishwa ukiona unafurahia sana au ukiona unafundisha watu alafu wanafurahia mafundusho yako jua uwezo wao wa kufikiri ni mdogo:Watu hawajanielewa katika andiko langu,nimegundua watu wengi uwezo wa kufikiri ni mkubwa.
 
dah hiyo social network unayoipinga kwangu mimi imenisaidia sana kukuza kipato changu.. hata hela ya bundle la internet napata kutokana na mishe zangu mtandaoni
 
Masikini mie

Basi JF itakuwa inachangia mimi kuendelea kuwa masikini

Dah!mambo mengine bwana ukiyafuata unaweza kujikuta unaishi kama shetani badala ya kukupa faida unaongeza stress
 
Masikini mie

Basi JF itakuwa inachangia mimi kuendelea kuwa masikini

Dah!mambo mengine bwana ukiyafuata unaweza kujikuta unaishi kama shetani badala ya kukupa faida unaongeza stress

Ni Kweli kwani uongo? Wewe unadhani Mark Zuckerberg anatumia facebook most of his time?

Mleta uzi alipo zungumzia swala la matumizi ya mitandao alilenga wale wanao tumia muda wao mwingi ktk hizi media pasipo maswala ya msingi tena unakuta mtu yupo online JF/ FB kwa masaa 8 na anacho kifanya niku like na ku comment picha zakina Zari na Wema .....huoni huo ni utumwa na umasikini kwako? ! Kwa maana nyingine Ni kuwa hajapingana na Yule anae tumia social media Kama sehemu yake ya kuitangaza/kufanya biashara yake na wala hajakataza ku Like na ku comment picha Za Domo na kiba ! Anacho sisitiza hapo Ni swala moja tu TUHESHIMU MUDA !! Mleta uzi mim nakupa shukrani Sana sana kwa huu uzi! Naamini most wamekuelewa ila wanatafuta Ka ubishi kasiko na maana . [HASHTAG]#Mbarikiwe[/HASHTAG]
 
Biashara bila pesa ni sawa na kujadil tuzo ya mchezaj bora wa dunia huku humjui Messi na Ronaldo.
 
Huyu anataka watu watembee na simu ya tochi ile wawe matajiri!
Anamtolea mfano Dr.Mengi,amekutana nae wapi?anajua lifestyle yake au anamuona kwenye tv tu?
Bila smartphone utawezaje kusoma urgent emails,ukiwa nje ya office?
 
Asante my brother
 
Padre mmoja aliwahi kutuambia mgawanyo mzuri ni
Mungu -masaa 8
Kazi- masaa 8
Kupumzika- masaa8
 
Masifa tu hawa hawanaga lolote zaidi ya kuendesha midahalo wanajifany Wako smart wakat wameajiriwa au wapo chini ya taasisi fulani kumbe wapiga dili et umeajiri mtu wa social network zako ssa huku unafanya nn kasome vitabu uzidi kutajirika mkuu
 
wenye kazi kama mafundi magari,sawa lakini siye wapemba tukisha fungua duka kariakoo SAA 3:0 ASB,tusubiri wateja haswa huku twachat....
 
Unafikiri kama mm braza!! I really thanx a great thinker like me.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…