Mataifa yenye upinzani wa jadi

Mataifa yenye upinzani wa jadi

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,877
Reaction score
36,333
1. Nigeria vs Ghana
Haya mataifa Huwa kama Simba na Yanga, huwa hawakubaliani Kabisa, kuanzia kwenye siasa, uchumi michezo n.k
Mfano kwenye michezo mitandaoni Kuna ubishi wa nani Bora kati ya Thomas Partey na Mikel Obi

2 Tanzania vs Kenya
Tuko majirani ila Kuna tambo zipo na kudharauliana
Wakenya huwa wanaona Watanzania Malofa wasio na elimu kama maiti zinazotembe yaani hata English hawajui wako busy na vitendawili

Na Watanzania huwaona Wakenya Taifa la ovyo hawana hata Chakula wanaandamana na wanauana kisa kupigania unga😂

4 Algeria vs Morocco
Hawa ni zaidi ya vita, yaani hata hawaingiliani yaani ukiwa Morocco ukatamka Algeria unaweza ukapigwa
Wana uhasama si kawaida japo ni mataifa jirani

5. Rwanda vs Burundi
Haya ni mataifa madogo kijiografia
Ila huwa wanakinzana hata Kwa mambo mambo madogo
Yaani Burundi yupo tayari aingie mgogoro kisa Rwanda yupo
Refer kule Congo

6 England vs German
Haya mataifa ya Magharibi ni makubwa kihostoria ila uhasama wao Toka zama upo na unadumu
Wanachekeana usoni lakini Bado chuki waliobebeana moyoni ni kubwa mno

7. Marekani vs Canada
Licha ya ujirani walio nao ila Huwa hawakai kukubaliana wote Huwa wanapopoana yaani hakuna Taifa kinakubali kuheshimu mwenzake

8 France vs Belgium
Hawa wanaongea lugha 1 yaani French ila upinzani wao ni Wa kihostoria anapokanyaga mwenzake Huwa mwingine hataki kufika
Wanapopoana na kuwekeana fitina za hapa na pale yaani Bora jambo la mwenzake lisifanikiwe

9. Brazil vs Argentina
Hao ni wababe kutoka bara la wahuni huko America kusini
Huwa hawakubaliani hata Kwa mambo madogo

10. Israel vs Palestine
Hawa ni watu wa Moja kiasili ili Sasa ugomvi wao huwa hauishi miaka Sasa

11. Cameroon vs Ivory coast
Hawa ni nao utani, kupopoana, uhasama Huwa upo popote walipo moto unawaka
 
Tanganyika na zanzibar. Mmoja ni mwizi wa mali za mwingine.. Rejea kuuzwa kwa bandari na mbuga za wanyama.
 
pia England vs Argentina, kuna vijembe huwa vinapigwa kwa Malkia/Mfalme
 
Back
Top Bottom