CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 518
- 901
Leo naomba tuangalie mataifa yanayohongoza kwa kuchukiana zaidi yahani kila taifa linajiona bora na babe zaidi ya mwenzake
Nitahanza na listi yangu kisha wewe mdau utakuja na yako pia
1. South korea vs North Korea
Hawa jamaa licha ya kua ni ndugu lakini wanachukiana kinoma, na chanzo kikubwa cha mgogoro wao ni mpaka
2. India vs Pakstani
Hawa jamaa uhusiano wao pia ni kama wa paka na panya yahani hakuna anayemuelewa mwenzake, na chanzo kikubwa cha mgogoro wao ni itikadi za kidini pamoja na mpaka, kwani wameshawai kutwangana wakigombea jimbo la kashimiri.
3. Israel Vs Palestina
Hii ni darby nyingine tena, hawa jamaa hawapatani kinoma nasidhani kama watakuja kupatana, chanzo cha battle yao ni kwamba palestina anadai Islaer anakalia aridhi yao kimabavu huku islaer wanasema hapo ni kwao kwani walipewa na mungu bahada ya kuwaidi mababu zao.
4. China vs Japan
Hawa jamaa ni miongoni mwa nchi ambazo azipendani kinoma na uhasama wao unahanzia kwa serikali zao mpaka kwa raia, chanzo cha battle yao ikidaiwa ni pamoja na maslahi ya kiuchumi, lakini mchina akiwa na kumbukumbu ya kutawaliwa na wajapani.
5. USA vs Russia
Hawa jamaa unahambiwa mahusiano yao yapo kama paka na panya, unaweza kuta wakiongea fresh lakini wakiachana tu kila mmoja anamsinichi mwenzake, chanzo cha mgogoro wao ni kwamba kila mmoja alikua anataka kua mtemi wa dunia hii yahani superpower.
Haya nawahachia na wengine mje na hizi darby za mataifa, najua zipo battle kibao pia ningependa kufahamu kuhusu battle za africa.