Mataifa makubwa hayakubali CCM itoke madarakani

Lai Otieno

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
311
Reaction score
90
KWA TAARIFA NILIZONAZO :mataifa yote makubwa hawapo tayari kuona C C M inaachia madaraka kwa kuwa wanapata kila kitu bure hasa rasilimali kutoka kwa Uongozi wa Serikali ya chama hicho
viongozi waliopo madarakani hawana tena sauti kwa watanzania walio wengi,ila kwa ubabe wa wakubwa ikiwemo China na Marekani,ndo maana Juzi aliyeitwa balozi wa China alifanya aliyofanya kwa mkutano wa Kinana
ziara za nje za serikali zimekuwa kuomba msaada wa chama kubaki madarakani kuliko kuwasaidia watu wake kujiletea maendeleo
MY TAKE; vyama vya upinzani visitegemee sana wahisani toka nje wajikite kwa elimu ya uraia hapahapa nchini
 
usiogope kamanda tuta watimua hao mafisi wao, kama wakiwa penda wawape hifadhi ya kisiasa huko makwao maana lazima tuwapige chini.
 
KWA TAARIFA NILIZONAZO :mataifa yote makubwa hawapo tayari kuona C C M inaachia madaraka kwa kuwa wanapata kila kitu bure hasa rasilimali kutoka kwa Uongozi wa Serikali ya chama hicho
viongozi waliopo madarakani hawana tena sauti kwa watanzania walio wengi,ila kwa ubabe wa wakubwa ikiwemo China na Marekani,ndo maana Juzi aliyeitwa balozi wa China alifanya aliyofanya kwa mkutano wa Kinana
ziara za nje za serikali zimekuwa kuomba msaada wa chama kubaki madarakani kuliko kuwasaidia watu wake kujiletea maendeleo
MY TAKE; vyama vya upinzani visitegemee sana wahisani toka nje wajikite kwa elimu ya uraia hapahapa nchini

Mkuu, haya sisi tulishayaona mapema.
 
Hayo Mataifa makubwa hayataki CCM itoke madarakani ama yanataka kuhakikisha rasilimali yalizopata kwa hila na masilahi yao yanaendelea kulindwa bila bughudha? Nani kayaambia hayo mataifa makubwa kuwa endapo CCM itashinda uraisi hapo 2015, raisi huyo mpya wa CCM atasimamia maslahi yao kama watakavyo?

Mkuu wapelekee salamu kuwa mchezo wa hila waliocheza ni kama upatu tu, wajiandae kisaikolojia kuliwa vilevile
 
Wewe ni sehemu ya mataifa makubwa au ni mtoto wa mwisho kwenye familia yenu?
 
Watu wote wangekuwa na mawazo kama ya huyu jamaa taifa lingeporomoka sana kiuchumi hata kimaadili mawazo mfu.
 
KWA TAARIFA NILIZONAZO :mataifa yote makubwa hawapo tayari kuona C C M inaachia madaraka kwa kuwa wanapata kila kitu bure hasa rasilimali kutoka kwa Uongozi wa Serikali ya chama hicho
viongozi waliopo madarakani hawana tena sauti kwa watanzania walio wengi,ila kwa ubabe wa wakubwa ikiwemo China na Marekani,ndo maana Juzi aliyeitwa balozi wa China alifanya aliyofanya kwa mkutano wa Kinana
ziara za nje za serikali zimekuwa kuomba msaada wa chama kubaki madarakani kuliko kuwasaidia watu wake kujiletea maendeleo
MY TAKE; vyama vya upinzani visitegemee sana wahisani toka nje wajikite kwa elimu ya uraia hapahapa nchini
Wale wadenish na waitaly wanaoisadia chadema siyo mataifa makubwa kumbe.
 
BAVICHA ni lini mtapevuka kiakili na kutoa mada zenye tija kwa watanzania?
 
upo ushirika wa kujiimarisha kisiasa ila si kupora rasilimali,eti na wewe ni timu ya Low hasa mna mkazi

M a one man army just loving my country and especially the destitutes!!!!

Uhusiano wowote lazima uanze kama hivyo unavyosema wewe..kama ni mwanaume hapa utajua naongea nini!!!!

Jibu hoja bana ni chama gani hakishirikiani na mataifa ya nje??????!!!!
 
BAVICHA ni lini mtapevuka kiakili na kutoa mada zenye tija kwa watanzania?

tatizo lao wakikaa kimya hawatackika utajuaje kama wapo halafu kile kikundi cha ulinzi wa chama kimeishia wapi?
 
Gas, Mafuta na Madini.
Hapo wataingangania hata kwa Mtutu, Ila nachowapendea nao wana akili wakigundua MACCM hayana support ya wananchi wata yageuka, kinachotokea sasa bado wanawaongopea kuwa wanasupport wakati si kweli.
Cc: Pasco
 
Last edited by a moderator:
ni kweli kabisa ila sauti ya WATU ikisema imetosha sasa utasikia
 
Kwa hapa danganyika hakitatawala chama chochote cha upinzani. Ccm CCM CCM CCM. Kwa garama yoyote

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom