MATAGA acheni uoga,umizeni vichwa sio kuiona Kenya kama adui

Asante yan Magufuli aliwadekeza sana watanzania,wakapenda kuitwa mnyonge wakashangalia,hawataka changamoto yoyote katika maisha yao.

Akiamka asubuhi akala akanywa akaongeza mke basi kapatia maisha

Ni ujinga mkubwa sana huo
Ndio hao wanalialia hovyo tu,maana walizoea kubebwa na hawakutaka changamoto kabisa
 
Back
Top Bottom