Maswi asipodhibitiwa ataiharibu TRA

Maswi asipodhibitiwa ataiharibu TRA

Wee unajua maana ya Kaimu !? Nenda TRA kaulize hao jamaa Kama wameteuliwa rasmi. Technically hizo nafasi wamekamata kwa muda pending kuona ufanisi wao wa kazi. Sio unakurupuka na kudandia mada Kama Nyani yatima.

Unasoma unachokiandika au kwa vile una access ya Internet? hayo maelezo ungeyatoa kwenye post uliyokua unaijibu. Kumbuka ulisema hakuna tofauti kati ya maelezo yako na yake wakati yeye hakuweka neno kaimu.

Hilo la kudandia mada ni jambo la ajabu sana, hii ni forum ukitaka uzi wako uchangiwe na baadhi ya watu toa maelekezo mapema.
 
kwanini wachaga wapewe wizara za ela tu,halafu wanabebana sana,ona TRA yooote ni moshi,
ona PORT yooote ni Moshi.
ONA HAZINA yooote ni moshi
 
Tatizo ni malezi hapa. Vijana wa siku hizi mmezoea kula mahindi ya kuchoma na ndimu huku mmepaka pilipili.
 
kwanini wachaga wapewe wizara za ela tu,halafu wanabebana sana,ona TRA yooote ni moshi,
ona PORT yooote ni Moshi.
ONA HAZINA yooote ni moshi
Halafu wakikamatwa wizi bado wanalalamika wanaonewa. Wanaotokwa mapovu hapa wote karibia ni wakaskazini.
 
Tatizo ni malezi hapa. Vijana wa siku hizi mmezoea kula mahindi ya kuchoma na ndimu huku mmepaka pilipili.

Afadhali umenisaidia kujua kiwango chako nauelewa wako ili nisipoteze muda kujadili hili jambo na wewe.
 
Ni uelewa tu, tume ya maadili ilifanya uchunguzi wa kina na kugundua kwamba Maswi hakuhusika na kashfa ya escrow. na hata katika list ya watu waliopata mgao yeye hakuwemo, kwa nini apate adhabu. Haiwezekani mtu awe mhalifu kwa tuhuma, na kama ikibainika hakuhusika ni kwa nini aadhibiwe. Chuku binafsi tuzisipe nafasi kwa manufaa ya nchi yetu.
wewe ndugu yangu umesahau ule usemi,( TRA) ni mahali patakatifu. Hapakustahi mtu mwenye madoa doa aingie huku.
 
Kabisa mkuu. Majitu Kama yanatamani ardhi ipasuke iwameze. Hamna ujanja ujanja sasa hivi. Ni kazi tu ndio itapima UTU na UZALENDO. Yaani sijui kwa nini hao jamaa wa kaskazini Wanafikiri wao ni bora kuliko Watanzania wengine.

Borat69 said: ↑
Mkuu,
Tatizo kuna majitu yamezoea kuona majina Fulani kwenye hizo taassi. Wameshatuibia vya kutosha. Sasa wameingia wachapa kazi tunaona mapovu yanavyowatoka. Maswi ni Jembe haswa na anastahili hiyo nafasi.​
Yani mkuu wanaendelea kuumia sana! !! Maswi piga kazi to prove them wrong. ..nchi hii ilikuwa imeshakuwa ya kikaskazin wala siyo ya kitaifa..so roho inawauma sana..mbinu zao mwishowe Mungu amewaumbua..
Namwamini sana Maswi msimamo wake ndo unawachanganya sana hoa wenye viriba vyo roho..ni sawa na prof Muhongo misimamo yake iliwakera wakamuwekea kijicho..wao wamezoea kubembelezwa lkn kwa hawa ni No. PIGA KAZI MASWI ALIYEKUAMINI NI RAIS NA KWAKE UNAWAJIBIKA SIYO JF

Najaribu kutafakari haya mawazo hapo juu na najiuliza, hivi hawa wanaoandika haya ni moja ya viongozi waliopo au waliowahi kuwa madarakani! Ambao kwa namna moja au nyingine wanafahamu undani na ukweli wa mambo au ni washabiki tu wasiojua hili na lile zaidi ya kusikia kijuu juu tu kuhusu haya masakata.
La pili najiuliza kama kweli kuna jambo lolote litakuja kukomeshwa kwa style hizi za kufunika na kutetea mambo maovu eti tu kwa kuwa aliyehusika ni wa dini yangu, kabila langu au ukanda wangu!
Zaidi ni kwamba hata kama watanzania wengi hawawajui kiundani wale waliohusika na ukwapuzi wa fedha kwenye taasisi mbalimbali, waliohusika wanajua wazi kuwa wamekula, na zaidi ya haya wanawaona ndani ya mioyo yao wanaowatetea kwa povu kuwa ni mazuzu wa kufa mtu. Lets life goes on
 
Tuna tatizo kubwa sana la kushindwa kujibu hoja na badala yake ku attack mleta mada..... huu upuuzi unaendekezwa sana na pro ccm. Nawachukia.
Tujibu swali kama kweli Maswi kwa doa alilonalo je ana moral authority ya kuongoza TRA??
 
Ni dhahiri kuwa una CHUKI ni kawaida na Asili yenu. Kwa taarifa yako TRA inaongozwa na Wizara ya Fedha na Mipango kwa usimamizi moja kwa moja kutoka IKULU. Kidata na Maswi ni waandamizi tu hapo TRA. Hakuna kupiga Dili tena Kama mlivyozoea.Endelezeni chuki sasa.
 
Hahhahahhahaa Chuki yangu ni kwa CCM, ukisema ni Muandamizi tu ila inaongozwa na Wizara ya Fedha, unataka kutuaminisha nini hapa? Kwahio yupo kama fadhila tu na hatakua na authority yoyote?

Yaani mwizi umpe kazi yako kisha useme namtazama, yeye atabeba tu huu mzigo hata kama sijaufunga vizuri maana yeyey ni mbebaji tu? Unavyoelekea una hoja nzuri hebu jaribu kuiweka vizuri kidogo
 
Hiyo shutuma ya wizi alikutwa na hatia na kuhukumiwa!? Nimemaanisha hicho nilichoandika hapo juu kwamba sasa TRA inaendeshwa kwa mfumo tofauti na zamani. Hao watendaji wakuu Kidata na Maswi wako kwenye probation. Hakuna fadhila yoyote hapo ni utendaji kazi uliotukuka. Kwa watu wanaomfahamu Maswi watajua naongelea nini hapa. Au nenda kamuulize Agustino Lyatonga Mrema Huyo jamaa ni nani atakuelezea. TIME WILL TELL. Nitasimamia ukweli siku zote na MASWI anatosha kwa sasa hapo alipo kaulize ndugu zako wa Manyara aliyoyafanya huko.
 
Bado nasisitiza kuwa una point ila unandika kwa mihemko mno, jifunze kuidhibiti miheko yako Mpwa, kisha elezea uzuri wa Maswi, kwa mfano nadhani umetaja Manyara kama mfano, kwahio badala ya kunituma kwenda Manyara kuwauliza "ndugu zangu" alichokifanya Maswi, ungeweka hapa ili tufaidi wote, nadhani ingekuwa busara sana ili hata kwa wale ambao hawana ndugu Manyara na wenyewe wafaidike hapa, ni vyema ili next time Maswi asichafuliwe, kumbe ni mtu safi na mchapa kazi. Ndio hoja yangu imelala hapo tu Mkuu. Hebu relax halafu jibu taratibu kabisa, ndio maana nimesisitiza kuwa nina chuki na CCM sio Maswi as Maswi. Hope tuko pamoja
 
Wait a minute! Tume ya maadili ipi? Tume hiyo unauoiita ya maadili ni clap na sehemu ya matumizi mabaya ya fedha za umma. Hata chenge mzee wa visenti aliwaambia walipomuita kumhoji kuwa ninyi ni cha mtoto hamna uwezo huo, uchafu ni uchafu hata kama umetiliwa mashaka tu hufai kuendelea ku-serve in public office

Mimi binafsi sikubaliani na magufuli juu ya uteuzi wa huyo mtu na wengine kama prof muhongo na wenzake majina mnawajua ambao tulisha wajadili kwenye thread nyingi tu humu JF. Nyie mnaoshabikia humu eti jembe nina wasiwasi na viwango vyenu vya elimu na uelewa wa maadili ya uongozi.

Katika nchi inayofuata sheria na miiko ya utumishi wa umma haiwezekeni na wala haingii akili ni kwa Mtu au watu waliothibitishwa na vyombo kama;Bunge,Takukuru na CAG
Kuwa wamehusika na ubadhirifu, rushwa na matumizi mabaya ya ofisi na kuthibitishwa beyond no doubt na baadhi yao wakalazimika kuachia nyadhifa zao kwa tuhuma hizo leo hii tunawateua kushika nyadhifa aidha hizo hizo au nyingine kubwa sehemu nyingine! This is unspeakable.

Halafu mnadiriki kusema eti ni JEMBE! REAL! IS THIS SOME KIND OF A JOKE! hivi kweli magufuli au serikali inapeleka picha gani kwa wananchi! au ile kamati ya bunge (off course bunge lenyewe) kama mhimili wa serikali, CAG na Takukuru! .

Kama rais anaamini kuwa wote acha huyo wa kodi hawakua na hatia hiyo guts ya kuwafanya wasafi na kuwa appoint imethibitishwa wapi na chombo cha kisheria na umma (general public ) ikaambiwa kuwa hawa hawana hatia na baadala yake wenye hatia ni so and so na halafu sheria ikachukua mkondo wake! WHERE AND WHEN? CAN SOMEBODY EXPLAIN! . Ni tume juu ya tume, kamati juu ya kamati, uchunguzi juu ya uchunguzi then inaishia hewani, na ku register scandal baada ya scandal lakini hakuna matokeo chanya yoyote. Watawala wanaendelea kuneemeka watawaliwa wanaishia kulalama life goes on.

Mwl nyerere katika one of his hotuba alitoa mfano wa waziri mmoja huko uingereza kama si kosei alishutumiwa kutembea na changu doa na baada ya kuandikwa sana akajiuzuru na kumuandikia waziri mkuu barua na according to mwl nyerere yule waziri mkuu hata hakumjibu yeye aliteua tu waziri mwingine. MORAL OF THE LESSON ni kwamba unapokua mtumishi wa umma haswa nafasi kuu zenye kuamua mustakabali wa nchi kuna miiko ambayo ukiiivunja inakuondolea sifa ya kuwa kiongozi. HUFAI

Nawasilisha nitarudi tena.

Trump anafanya reference kwa vitendo kama hivi. Kwa viongozi wa Afrika, kuna wizi mtakatifu na wizi wa kishetani. Ukiwa kwenye mtandao wa utawala ulio madarakani, matendo yako maovu yatatakaswa na kupongezwa!
Escrow ni muendelezo wa Utamaduni wa kujiibia wenyewe!
Bahati mbaya sana, mheshimiwa Rais amezungukwa na mfumo huo. Hata hivyo, kwa maneno na vitendo vyake vya kuanzia, ameonesha nia ya kupambana nao!
 
kuna tarifa kuwa maswi anazo accounts zake binafsi uswizi zeje mahela kibao.Maswi sio mtu msafi hata kidogo,ana migodi na miradi kibao aliyojipatia wakati yuko katibu mkuu wizara ya nishati na madini.Tunapoongea kuna chombo binafsi kinafuatilia masuala haya.Maswi nakuambia tutakushika tu na tutakulipizia kisasi.
 
Kashfa ya Ufisadi wa Escrow ni doa kubwa sana kwa Kiongozi na mtumishi wa Umma yeyote. Ubabe na visasi ni sehemu ya tabia ya Maswi achilia mbali kashfa ya Escrow.

Inakuwaje mtuhumiwa huyu na mbabe huyu anakabidhiwa idara muhimu ya kukusanya Fedha za Umma? Anapata wapi moral justice ya kusimamia uadilifu? Atamwambia nn mtumishi aliye chini yake juu ya rushwa na Ufisadi?

Hivi hakuna kabisa wataalamu wengine katika nchi hii?

Tusitarajie jipya kutoka kwa mtu huyu, zaidi ya kashfa, ubabe na visasi.

MH. RAIS MAGUFULI KAMA KWELI UNATAKA UFANISI KATIKA SERIKALI YAKO ZINGATIA HILI.

UKWELI HUU UTAKUMBUKWA.
Alifanyiwa uchunguzi akasafishwa kwahyo hana tuhuma yoyote.
 
kwahiyo wewe una akili au ufahamu zaidi ya rais na watendaji wake wote ambao walimwona maswi anafaa kwa hiyo nafasi?
 
Back
Top Bottom